Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni aibu na fedheha karne hii njaa inapandiwa mlima, Kenya ni Taifa la hovyo kweli, kumbe mpaka kajiado watu hufa kwa njaa

Thank God for make me Tanzanian
Hakuna njaa Kenya labda wanatafuta pesa ya vitambi,huoni uko Kapedo venye wako na Silaha mingi kuliko Nyumba zao wwe
 
Nashukuru haka kamsemo ka "East Africa Economic Hub" kanazd kupamba moto kila article ikiitaja Tanzania inaweka hilo neno.

Na bado Wakenya bado hawaamini kama tushawapita [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe unaongea nini Tony254?

Una matatizo ya akili? Huwezi kutaja Kenya bila njaa, utakua umekosea heshima, ninyi njaa ndio identity yenu number 1
Mimi si Tony alafu Kenya hakuna njaa walai uko Turkana mnasemanga wako na bunduki kuliko Askari wa daresalam nakwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…