Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha longo longo we sema unatesekea ukiwa wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1685181
Barabara hio nimefata haya sema sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇 toka na hapo sasa
034ACEA3-2F29-420F-B147-80A71F5E0F9E.png
 
Umepanic, mwanza ni mwendo wa vumbi[emoji1787][emoji1787]
Estates za middle class hzo mzee baba
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hebu post ile picha mbona hamupost tena, mwanza imewatapisha kamasi😀😀😀 ukitoka na acc hii uje na ile ya coco master
 
Barabara hio nimefata haya sema sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] toka na hapo sasaView attachment 1685183
Tuonyeshe locations basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KICC to GTC..
Unafikiria hapa kuna ujanja ujanja wa kuchora..
Tony254 kuja uonge bonge la geographer, anapima hewa bila locations[emoji1787][emoji1787]
 
Barabara hio🤣🤣🤣👇👇👇 from KICC to GTCView attachment 1685198
Tazama google map inasema kwamba inakuchukua 10 minutes kwa personal car using the shortest route na kwamba inakuchukua 13 minutes kwa basi. Angalia hii screen shot yangu.

Soma hio side panel ambayo iko on the left itakueleza muda utakayochukua ukitumia gari.
1611507043597.png
 
Tuonyeshe locations basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KICC to GTC..
Unafikiria hapa kuna ujanja ujanja wa kuchora..
Tony254 kuja uonge bonge la geographer, anapima hewa bila locations[emoji1787][emoji1787]
Hio barabara ya huyu jamaa ichoboy01 imeishia university of Nairobi, haijafika westlands. Anadhani anadeal na nyumbu hapa. Janja janja zake hazitafaulu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hebu post ile picha mbona hamupost tena, mwanza imewatapisha kamasi[emoji3][emoji3][emoji3] ukitoka na acc hii uje na ile ya coco master
Screenshot yako ina hotel kumi picha ina nyumba za kumwaga[emoji1787][emoji1787]
Huoni umeumbuka[emoji1787][emoji1787]
 
Screenshot yako ina hotel kumi picha ina nyumba za kumwaga[emoji1787][emoji1787]
Huoni umeumbuka[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 post basi ile pic au haitakiwi tena baada ya kuona mumekula kibano cha aina yake
 
Tuonyeshe locations basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
KICC to GTC..
Unafikiria hapa kuna ujanja ujanja wa kuchora..
Tony254 kuja uonge bonge la geographer, anapima hewa bila locations[emoji1787][emoji1787]
Kwan GTC huoni hapo au kichaa wewe mr coco master🤣🤣🤣🤣
F5C6BC9B-F012-426E-B913-8AF9A16C7CDA.jpeg
 
Hio barabara ya huyu jamaa ichoboy01 imeishia university of Nairobi, haijafika westlands. Anadhani anadeal na nyumbu hapa. Janja janja zake hazitafaulu
Nilikua nataka kumuumbua huyo jamaa mbishi wa kutoka chattle[emoji1787][emoji1787]
Hajui km screenshot yake imemuonyesha UON na bado hajielewi
20210124_200133.jpg
 
Back
Top Bottom