Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] post basi ile pic au haitakiwi tena baada ya kuona mumekula kibano cha aina yake
Naona huna hamu tena na hotels baada ya kuona estates za kumwaga
 
Screenshot yako ina hotel kumi picha ina nyumba za kumwaga[emoji1787][emoji1787]
Huoni umeumbuka[emoji1787][emoji1787]
Post tena ile picha mbona sioni mukipost au mushakula kibano kitakatifu hamupost tena 😆😆😆😆 wazee wa kazi mtaani
 
Wewe vp wewe huoni GTC hio 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
View attachment 1685215
Boss tupe full screen shot hadi mahala ambapo umetype maandishi yako ya "Nairobi CBD to Westlands" na mjadala uishe. Mbona unaficha mahali ulipotype maandishi hayo. Nipo ready kukubali kushindwa ikiwa utafanya hivyo. Mimi screen shots zangu zina maandishi hayo kwenye search area.
 
Unamuumbua nani mm au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1685219
Nakuumbua wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tony254
Jamaa mbishi mpaka google anaipinga kw line yake isiyokua na mbele wala nyuma[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
20210124_200133.jpg
 
Post tena ile picha mbona sioni mukipost au mushakula kibano kitakatifu hamupost tena [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] wazee wa kazi mtaani
Coco Master kwisha hoja yake huyu sasa[emoji1787][emoji1787]
Ona kile kitu alichobaki nacho, post ile picha nizidi kumuumbua huyu mchumba wa FFU
 
Boss tupe full screen shot hadi mahala ambapo umetype maandishi yako ya "Nairobi CBD to Westlands" na mjadala uishe. Mbona unaficha mahali ulipotype maandishi hayo. Nipo ready kukubali kushindwa ikiwa utafanya hivyo. Mimi screen shots zangu zina maandishi hayo kwenye search area.
Wewe unajichanganya 🤣🤣🤣👇👇👇
198FCC4C-106A-4419-8C4F-23F6E115845B.png
2A8F0344-5BB9-4C82-9885-C808BD238746.jpeg
 
Nakuumbua wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tony254
Jamaa mbishi mpaka google anaipinga kw line yake isiyokua na mbele wala nyuma[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1685222
Jamaa anataka achore laini straight from point A to point B kama Kibonzo au abunuasi. Hajui kwamba barabara inapinda pinda na haiwezi kuwa straight.

cc ichoboy01
 
Back
Top Bottom