Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni Bora waweke barier lasivyo ntakua mmefanya zero work uendeshaji wa Kenya lazima utumie kifua,hakuna utaratibu, wa kufata traffic lights mwisho wa siku mabasi ya githurai na Zimmerman yanaingia kwenye huo mchorošŸ™‚
Barriers zitawekwa. Hio ni part of the project.
 
Take a look
IMG_20210123_205802.jpg
 
So leo unafananisha japan na kenya au usa na kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

leo developed country au 1st world countries inafananishwa na 3rd world country [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mungu atupe subira [emoji3][emoji3][emoji3]
Nionyeshe wapi nimefananisha japan na kenya..
 
Ni bidhaa ngapi mnanunua kwetu.? Ikiwa chakula tu hamuwezi kuzalisha.? Duh Kenyans ni mtihani kwelikweli yaaRabbi
You sell us raw products, we sell you manufactured goods which are higher uo on the value addition chain........who do you think is benefiting more?

Wait for this RAW steel factory to come online ndio mtajua selling oranges to Kenya is not how you catch up to Kenya
 
Ni bidhaa ngapi mnanunua kwetu.? Ikiwa chakula tu hamuwezi kuzalisha.? Duh Kenyans ni mtihani kwelikweli yaaRabbi
Ama kweli msela wangu ni mtihani cha ajabu eti Egypt wana uwezo wa kuwauzia wenzetu mahindi sukari na matunda šŸ™‚wakati ni jangua on the other hand majirani wako na ardhi ya kilimo šŸ™‚
 
Back
Top Bottom