komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wenzako 2019 walisema mwakani mtatupita lkn hadi sasa siwaskii tenaTutawapita mbali sana jirani zetu 2025 story zao zitakua like "we(kunyans) and tz were in the same level of development"
Wenzako 2019 walisema mwakani mtatupita lkn hadi sasa siwaskii tenaTutawapita mbali sana jirani zetu 2025 story zao zitakua like "we(kunyans) and tz were in the same level of development"
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa mkiambiwa ukweli munakasirikaWewe huwa unaamka asubuhi unakunywa chai na kuingia mara moja kwenye tweeter feeds za Kenya. Cha kushangaza ni kwamba hakuna Mkenya hata mmoja anayejishughulisha na tweeter feeds za Tanzania. Yaani us Kenyans don't give a f*ck about what goes on in Tanzania. Nyinyi ndio mko interested na mambo yetu.
Kwa Tabora hii Nakuru ni desert bado
So leo unafananisha japan na kenya au usa na kenya 🤣🤣🤣🤣🤣Kwn unawaonaje hao majamaa, hata wao pia ni nchi km nci zngine tuView attachment 1684217
Sanaaaa mkuu ....yaani katika nyuzi nazikubali ni hii battle aisee[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji854][emoji854][emoji854][emoji56][emoji56][emoji56]
Hii battle tamu
[emoji3][emoji3][emoji3]alafu acheke mwenyewe ......Mwache kwanza ajitekenye
Tutalilia chooni kwa hili. Mikopo hii tunapokea kutoka kwa mibeberu inakulwa na hidden agenda kwa Raiyaa ila viongozi wanajua kuwa hatutoweza kulipa Bila kuachilia Mali ghafi kwa beberu.
Bei ya chakula ishapanda tayari, Kazi hakuna na zaidi curfew bado ipo [emoji24][emoji24][emoji23][emoji23] Kenya na Nigeria tofauti ni hina tu!
Laso wewe ni Brian the real story wa Skyscrapercity?
49.5 MW ndio mnafungua midomo?