Unaongea vitu vya kijinga sana ,kua na high unemployment rate hakukufanyi uonekane bora hata kwa 1%....Nchi zilizoendelea wanasifa ya kua na low unemployment rate...Wacha kujiaibisha I think hujui how this works. South africa si iko developed but iko na a very high unemployment rate of 29% kenya we at 17% but does that mean kenya is better than SA???? No. this how it works ... kwanza as a country mkiwa a third class wananchi Huwa any job goes, wanaeza fanya kazi yoyote so wengi wanafanya hata kama ni jua kali so kunakuwa na low unemployment watu wengi wana kazi(mahali tanzania na Uganda wako sasa). then as a country sababu ya watu wengi kufanya kazi you strive to middle class economy. Mkiwa middle class unapata youths wengi wanasoma demand for good and better job rises watu wanaanza kubagua kazi hawataki jua kali jobs wanataka white collar jobs so people become highly unemployed sababu watu wengi wanabagua kazi(mahali kenya, south africa na Nigeria ziko sasa) The moment kumekua na that demand and you solve it by creating many high end jobs sasa you comfortably start achieving first class economy status(mahali Europe na japan ziko sasa) hope that helps you understand
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Maneno mengi porojooo tu chukua zawadi upumzikeWacha kujiaibisha I think hujui how this works. South africa si iko developed but iko na a very high unemployment rate of 29% kenya we at 17% but does that mean kenya is better than SA???? No. this how it works ... kwanza as a country mkiwa a third class wananchi Huwa any job goes, wanaeza fanya kazi yoyote so wengi wanafanya hata kama ni jua kali so kunakuwa na low unemployment watu wengi wana kazi(mahali tanzania na Uganda wako sasa). then as a country sababu ya watu wengi kufanya kazi you strive to middle class economy. Mkiwa middle class unapata youths wengi wanasoma demand for good and better job rises watu wanaanza kubagua kazi hawataki jua kali jobs wanataka white collar jobs so people become highly unemployed sababu watu wengi wanabagua kazi(mahali kenya, south africa na Nigeria ziko sasa) The moment kumekua na that demand and you solve it by creating many high end jobs sasa you comfortably start achieving first class economy status(mahali Europe na japan ziko sasa) hope that helps you understand
Huo mgodi hauna jipya sio ni ule ile tu ambao wale jamaa sijui wa accacia wakaucha kisa hauna faida..Bandari za Tanzania zitachangamka subiri hiyo nickel ianze kuchimbwa na mafuta ya mganda, hata Durban tutawaoa muda si mrefu
Huu ni mgodi mpyaHuo mgodi hauna jipya sio ni ule ile tu ambao wale jamaa sijui wa accacia wakaucha kisa hauna faida..
Sasa mamburula naona bado mnazidi kunengua na kitu ambacho ilikua kimekufa
Jamaa anaumwa sana akiskia vijana wanapiga kazi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukinionyesha daraja kama hili Kenya (qualitywise) natoka online!Nilikua nadhani tunaongelea mambo ya maana sasa ukianza bullets vijidaraja kutoka kwa kijiji Chenyu si tutapoteza mwelekeo
Kawadanganye wa south sudan[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu km daraja qualitywiseUkinionyesha daraja kama hili Kenya (qualitywise) natoka online!
Mtakua big boys only if you export more than you import...Or the value of goods imported is less than goods expoted...look at you what do you have to export to become big boy ?chai na avoes?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo ni hela ndogo sana wenzako wanakuuzia machines,cars, mobilephones,nguo, umeshapigwa kaka hapo....Utauza chai tonne ngap utengeneze $1B ? Unauziwa pcs 100,000 tu za iPhone kwa $$$ nyingi hatari....The more free trade areas we have the more our economy flourishes so the more the merrier sasa manfacturing sector yetu itagrow and we will get market for our products without restrictions halafu birds of a father flock together tukianza kufanya biashara na big boys soon we will be a big boy too [emoji120][emoji119][emoji23][emoji23]
Not just south africa almost all countries that join middle class economy lazima wapitie shida hizo us we joined in 2014 nyinyi mmejoin 2020 naona, jipe Mike mitano ndo utaelewa what am saying Uganda pia itafwata karibuni wakijitahidi.... a country develops in stages and it's hard to jump a stageUnaongea vitu vya kijinga sana ,kua na high unemployment rate hakukufanyi uonekane bora hata kwa 1%....Nchi zilizoendelea wanasifa ya kua na low unemployment rate...
FYI south Africa despite of being upper middle income it's among the country that performs poorly in that agenda,saying so it's not termed as a developed nation untill they change and close the gap between poor and rich !!
Kenya is a failed state,low middle income as Tanzania, the difference is that Kenya is a capitalist while Tz is not,in a Country like Tz everyone has a free access to job opportunity ...Tunajua kenya mko kikabila zaidi ukiwa kabila fulani hata uwe na vyeti kutoka ni kazi ..View attachment 1682488
Ofcz, Uku Tz ajira zimeanza kua shida kwasababu vijana wengi walizoea akimaliza chuo anapata ajira...Kwa sasa uwpo wa makampuni binafsi umesaidia kuchukua vijana wengi sehemu za kupata hela kiasi cha kusukuma maisha...Tunakoelekea Ni mwendo wa kusoma upate maarifa na kufanya project binafsi...Ajira zimeshaanza kua ngumu hata ukuNot just south africa almost all countries that join middle class economy lazima wapitie shida hizo us we joined in 2014 nyinyi mmejoin 2020 naona, jipe Mike mitano ndo utaelewa what am saying Uganda pia itafwata karibuni wakijitahidi.... a country develops in stages and it's hard to jump a stage
Tanzania inamadaraja karibu mara kumi ya mlionayo....usijidanganye apoWatu wameanza kujenga madaraja karne hii basi wanajikuta matajiri[emoji23][emoji23]
Watu walijengs madaraja yana miongo kadhaa na wala haturingi, zama hzo wengine ilikua wanatembelea mitumbwi
Geza Ulole [emoji116][emoji116][emoji116]
Nyali bridge
Kilifi bridgeView attachment 1682513View attachment 1682514
Nakuonyesha madaraja sio ufahari manake wenzenu tuna vitu tangia 80s na bado vipo imaraTanzania inamadaraja karibu mara kumi ya mlionayo....usijidanganye apo
Tweet ya 05 Feb 2018!Bytheway SGR ya kenya pia inaanza kua electrified if you dint know meaning hata kabla mtumie your train hata mara moja hata yetu itakua electrified. So ujinga ya woo yetu ya stima woo hiyo itaisha soon
View attachment 1682516
Yeah but sahii ndo kazi inaanza anzaTweet ya 05 Feb 2018!