Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna nyingine nliskia eti Kaka mmoja alimuua ndugu yake kisa kammalizia kichwa cha samaki tulijikuta wote tumecheka Kenya huwa wanahabari za ajabu Sana๐Ÿ™‚
Nyinyi media zenu ndo mbovu si habari kukosekana
 
Kenyans spending time on their national television, watching Joe And Kamalaโ€™s inauguration is the funniest thing Iโ€™ve heard today. And what would the Americans do? Eti โ€œtunakuwa enlightened about the worldโ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ Nchi yenu imejaa giza mnashindwa kuelewa inaendaje mnatazama American affairs. Itโ€™s fine if the news was brief, but the whole event? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ what in the hell?
 
Mbona kilio, nani sai atapoteza mda akaangalie tv za tanzania..
Medias zetu hazikwepeki ukanda huu, watu wengi wa EA najua leo wametumia tv zetu ku watch hilo tukio
Huwezi amini hata kuzijua sizijui kabisa, yn niache kuangalia tv za bongo au za mbele kina bbc, aljazeera, cnn etc niangalie ushuzi wa copy and paste.
 
Kwahiyo hapo ww kwa akili zako unaona kuna island hapo? Wallahi Wakenya ni wehu sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Watanzania waliopotea kwenye uzi huu wote wanatazama tv stations za Kenya. Wanatazama uapishwaji wa Biden. Ndio maana hawapo hapa. Halafu wanajifanya kwamba hawana haja ya kutazama uapisho huo
Kwamba wamarekani hawana Tv zao au sio [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Yaani wakenya utakuta mpaka influencers wako huko Twittwer wanakaba kwa nguvu tweets za viongozi wa Marekani with quotes eti wanawananga ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Attention seekers, mpaka wabunge wao wapo wanaosapot Republicans wengine Democrats ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… yaani ni vihoja ukiona jinsi wanavyojitutumua na viingereza vyao wakifikiri wanasound relevant kwa wamarekani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mwishowe badala hata hiyo tweet kuwa na interaction na wamarekani unakuta tweet nzima replies zote ni mungiki wanachambana tu miongoni mwao na wenyewe wapo Republicans and Democrats wa kariobangi na kariadudu basi ni tafrani one-way ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ