President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,718
- 94,378
Sasa mbona unapiga kelele bado nakuja na somo.Huyo kilaza anadhani Wakenya ni wajinga. Huwezi kutaja neno delta bila kutaja neno river. Lazima useme ni river gani inatengeneza hio delta. Hakuna river yoyote inayopitia Mombasa island.
Ulianza kusema kwamba Mombasa ni lagoon. Kisha huyo kilaza Naton Jr pia akasema kwamba Mombasa ni lagoon. Baadaye ukasema kwamba Mombasa ni delta. Sasa tena umebadilisha gear na kusema kwamba Mombasa ni peninsula. Wewe ni mtu wa kudanganya. Huna msimamo. Kama vile tu unasema kwamba umesomea software engineering lakini bado unataka kunifunza geographySasa mbona unapiga kelele bado nakuja na somo.
Nimeanza na Delta bado sija kupatia somo la Types of Peninsula.
Tafuta hiyo comment niliyosema kuwa hiyo ni lagoon. Screenshot. Mimi siyo kilaza kama wewe. Nikisema Mombasa siyo Island ninauhakika. Ninakupa muda tu uoneshe ujinga wako hapa. Nimesema ninakupatia somo la Geography leo.Ulianza kusema kwamba Mombasa ni lagoon. Kisha huyo kilaza Naton Jr pia akasema kwamba Mombasa ni lagoon. Baadaye ukasema kwamba Mombasa ni delta. Sasa tena umebadilisha gear na kusema kwamba Mombasa ni peninsula. Wewe ni mtu wa kudanganya. Huna msimamo. Kama vile tu unasema kwamba umesomea software engineering lakini bado unataka kunifunza geography
😂😂😂😂😂😂😂😂 Hizi Ndio news za Kenya?? No wonder they prefer broadcasting international news to their own! SMH 🤦🏽♂️
Daaah kweli mnapenda sifa za kijinga ukishafatilia inakuaje labda Kwa mfano?Kama nyinyi hamtazamani uapisho wa Biden basi hio ni shida yenu. Dunia nzima inatazama.
Tunaposema world class infrastructure ndo hii sasa 🙂👍God bless my motherland Tanzania 🇹🇿🇹🇿Pata picha Hii kitu ingejengwa Hapo kenya izo kelele zake[emoji23][emoji23]View attachment 1682115
wakenya wanakua more enlightened about the world around them ....nyinyi ishini kwa hako kavillage kenu. Alafu sijawai fahamu hua mnafatilia media za kenya hivi kama tunavofatilia kina cnn na bbc 😅😅Daaah kweli mnapenda sifa za kijinga ukishafatilia inakuaje labda Kwa mfano?
Kuna nyingine nliskia eti Kaka mmoja alimuua ndugu yake kisa kammalizia kichwa cha samaki tulijikuta wote tumecheka Kenya huwa wanahabari za ajabu Sana🙂
Hapo umetuongopea kiukweli ukiuliza wabongo wengi hawanaga time na media za Kenya sababu khabari zenu ni ushuuuzi mtupu Ila nyie majirani mmejaa kwenye page za umbea za bongo mkifatilia habari za ma celebrities wa bongo ama nasema urongo?wakenya wanakua more enlightened about the world around them ....nyinyi ishini kwa hako kavillage kenu. Alafu sijawai fahamu hua mnafatilia media za kenya hivi kama tunavofatilia kina cnn na bbc 😅😅