Lagoon landmass ndio nini wewe kilaza. Niko sure hujui unachosema.Ulianza kusema Zanzibar ni kama Mombasa sababu zote ni islands, huwezi kuifananisha Zanzibar na huo uvundo wenu mnaoita kisiwa sababu Mombasa sio Island, ni 99% inland landmass with 0.7% lagoon landmass
Delta is for rivers when they separate we enda usome kitabu toka mtandaoniWewe jamaa unaandika maneno mengi mno.
Hakuna mtu amekueleza kuwa hiyo ni lagoon niwewe tu unajipendekeza.
Nimekuuliza nani Mwalimu wako wa Geography ambaye hajui hata Delta!?
Hahaha. Wewe ni wazimu. Unajua delta ni nini? Delta inahusu river inapofika kwenye ocean inagawanyika mara kadhaa kabla ya kuingia kwenye ocean. Huwezi kutaja neno delta ikiwa hakuna river mahali hapo. Umewahi kusikia neno Nile river delta? Sasa nataka uniambie Mombasa island ni delta ya river gani?Ndio maana nasema geography kwenu ni zero. Hivi unajua Delta!?
Nimejaribu kumuuliza jamaa yako maswali simple nikategemea kuwa atajibu kwamba ni Delta.
Nataka uanze kujifunza sasa Geography. Kisha utasema hicho kipande cha udongo ni nini.Hahaha. Wewe ni wazimu. Unajua delta ni nini? Delta inahusu river inapofika kwenye ocean inagawanyika mara kadhaa kabla ya kuingia kwenye ocean. Huwezi kutaja neno delta ikiwa hakuna river mahali hapo. Umewahi kusikia ne o Nile river delta? Sasa nataka uniambie Mombasa island ni delta ya river gani?
View attachment 1682098
aisee Mombasa si kisiwa!Nataka uanze kujifunza sasa Geography. Kisha utasema hicho kipande cha udongo ni nini.
View attachment 1682099
Wacha kujiaibisha Huona huo ni mto unaingia kwa sea but mombasa iko surrounded na deep sea that's why it has a portNataka uanze kujifunza sasa Geography. Kisha utasema hicho kipande cha udongo ni nini.
View attachment 1682099
unafanya nini kwa media za kenya kama unataka kutazama mambo yenu?? usilazimishe tufanane, sisi tunataka kutazama kuapishwa kwa biden kama wewe hutaki hujalazimishwa kutazamaVichwa vya wakenya haviko sawa. Yaani tuache kuangalia mambo yetu kwenye TV tuangalie rais wa nchi nyingine akiapishwa!? Are you serious!?
Ninakupeleka taratibu tu. Nakufundisha Geography taratibu. Hiyo ni simple structure. Niendelee kukupatia shule ya Geography!?Wacha kujiaibisha Huona huo ni mto unaingia kwa sea but mombasa iko surrounded na deep sea that's why it has a port
Muulize kama Mombasa ni delta iko kwenye river gani? Maana delta inasababishwa na river inapoingia kwenye ocean na ninavyojua mimi hakuna river yoyote inayopitia Mombasa island. Soma definition ya delta hapa. Huyo jamaa anajiaibisha bure tuaisee Mombasa si kisiwa!
Hahaha!! Yaani sisi tufanane na wakenya akili zao zimefungiwa na Malkia Elizabeth. Hahahahaha!!unafanya nini kwa media za kenya kama unataka kutazama mambo yenu?? usilazimishe tufanane, sisi tunataka kutazama kuapishwa kwa biden kama wewe hutaki hujalazimishwa kutazama
Taratibu twende usidandie gari mbele ninaendelea na somo. Umeshindwa kumtaja Mwalimu wako wa geography basi tulia nikuoatie shule.Muulize kama Mombasa ni delta iko kwenye river gani? Maana delta inasababishwa na river inapoingia kwenye ocean na ninavyojua mimi hakuna river inayopitia Mombasa island. Soma definition ya delta hapa. Huyo jamaa anajiaibisha bure tu
View attachment 1682105
Kuna underground water river ndo maana hughway inamong'onyoka!Muulize kama Mombasa ni delta iko kwenye river gani? Maana delta inasababishwa na river inapoingia kwenye ocean na ninavyojua mimi hakuna river yoyote inayopitia Mombasa island. Soma definition ya delta hapa. Huyo jamaa anajiaibisha bure tu
View attachment 1682105
Wewe ni nani unifunze geography??? Una qualifications gani? Umewacha kuwa software engineer umekuwa geography teacher?Taratibu twende usidandie gari mbele ninaendelea na somo. Umeshindwa kumtaja Mwalimu wako wa geography basi tulia nikuoatie shule.
Ninakupeleka taratibu tu. Nakufundisha Geography taratibu. Hiyo ni simple structure. Niendelee kukupatia shule ya Geography!?
Amini mnachotakaKuna underground water river ndo maana hughway inamong'onyoka!
Huyo kilaza anadhani Wakenya ni wajinga. Huwezi kutaja neno delta bila kutaja neno river. Lazima useme ni river gani inatengeneza hio delta. Hakuna river yoyote inayopitia Mombasa island.View attachment 1682107
Nataka you look at that picture carefully in this case it is the sea that has extended into the land and surrounded a piece which is mombasa the water is not coming from a river from mainland and hope you know the diffrence between a sea and an ocean.
Situlishakubaliana ukubwa wa Pua sio wingi wa kamasi? Mombasa haiwezi Ambia DAR kitu chochoteMpuuzi huyo, pia kumbe mombasa island ni kubwa kuliko kariakoo, posta, upanga n.k