Hawa watu ni wapumbavu kichizi aisee 😅😅😅tv zenu za kishamba sana.. nimejaribu kucheck tv za kenya na Tanzania, za Tanzania hata hazina ujinga wa kuonyesha hayo mambo ya USA.. nyie zenu ndo zinapnyesha .. yan badala zihabarishe au ziibue matatizo ktk jamaa yenu.. zinaonyesha vitu vya nje.. sidhan tv za usa zina mda wa kuonyesha inauguration events za marais wa kenya!!!
Mwalimu wako wa geography alikuwa anaitwa nani!?Ndio.
Wachanga kujifanya genius kijana. Wewe bado sana.Mwalimu wako wa geography alikuwa anaitwa nani!?
Hii report ya mwaka gani,,huu uwanja mtamu Sana😍 in MERU COUNTY
View attachment 1681928View attachment 1681929
Ninajifanya tena!? Nimekuuliza swali mbona unakimbia!? Mwalimu wako wa geography anaitwa nani?Wachanga kujifanya genius kijana. Wewe bado sana.
Ulianza kusema Zanzibar ni kama Mombasa sababu zote ni islands, huwezi kuifananisha Zanzibar na huo uvundo wenu mnaoita kisiwa sababu Mombasa sio Island, ni 99% inland landmass with 0.7% lagoon landmassMimi naongea kuhusu Mombasa island kuanzia mwanzo lakini wewe umeanza kuongea kuhusu Mombasa region. Inaonyesha jinsi wewe ni kigeugeu. Tunaongea kuhusu Mombasa island. Na wewe ulipinga kabisa kwamba hakuna island Mombasa. Hata ukaniwekea map ya umavi na kuniambia nikuonyeshe wapi island ilipo. Map uliyoweka hata haikuwa na Mombasa island. Unaenda kuokota takataka kwenye internet na kuzileta huku.
Siku hizi distance zinapimwa kwenye ramani. Hivi umewahi kusoma map reading!?
We use scale to measure map on paper siyo hivyo unavyofanya.
Which scale
Kwani maana ya kisiwa ni nini?Kuna vijiji vipo vimezungukwa na mito je tuviite visiwa!?
Hii habari mbona siioni BBCCan someone explain this..... ama ni kinaya charges abunuasi kimeanza 🤔
View attachment 1681976
Mbona Munaongelea zanzibar na zanzibar si TZ????Ulianza kusema Zanzibar ni kama Mombasa sababu zote ni islands, huwezi kuifananisha Zanzibar na huo uvundo wenu mnaoita kisiwa sababu Mombasa sio Island, ni 99% inland landmass with 0.7% lagoon landmass
Ndio maana nasema geography kwenu ni zero. Hivi unajua Delta!?Kwani maana ya kisiwa ni nini?
Tanzania come from merging Tanganyika and Zanzibar.Mbona Munaongelea zanzibar na zanzibar si TZ????
Ati anataka kusema eti kama landmass iko ndani ya river na imezungukwa na maji ati hio ni lagoon. Hizi ng'ombe hazijui geography na zinajifanya genius. Halafu ukiwaambia walete sources na evidence hawana. Sisi tunaweka evidence na sources, wao wana argue bila facts wala evidence.Kwani maana ya kisiwa ni nini?
fb://photo/4018267368191898?set=a.174737689211571Hii habari mbona siioni BBC
LOL zanzibar hii sio Tanzania?Mbona Munaongelea zanzibar na zanzibar si TZ????
Ulianza kusema Zanzibar ni kama Mombasa sababu zote ni islands, huwezi kuifananisha Zanzibar na huo uvundo wenu mnaoita kisiwa sababu Mombasa sio Island, ni 99% inland landmass with 0.7% lagoon landmass
Watu kama hawa wanakuja sana Tanzania lakini wanaishia kwa mawaziri, Magu sio cheap kiasi hicho akutane na level wa wenye viti wa vijijiHawa foreign ministers huja Sana Kenya lakini huwa hatupayuki humu
https://www.facebook.com/
Jamaa wanaota mchana🤣🤣🤣Hawa wameshapanic tayari wanaanza kurusha majini hovyo hovyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe jamaa unaandika maneno mengi mno.Ati anataka kusema eti kama landmass iko ndani ya river na imezungukwa na maji ati hio ni lagoon. Hizi ng'ombe hazijui geography na zinajifanya genius. Halafu ukiwaambia walete sources na evidence hawana. Sisi tunaweka evidence na sources, wao wana argue bila facts wala evidence.