Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787] una story za vijiweni............wangekuwa wanalihitaji hilo mapema tu wangeshalifanya usichukulie vitu simple huu muungano haufanani na muungano wowote duniani sababu huu ni zaidi ya muungano hii ni nchi......

usichukulie mambo kirahisi usipende story za vijiweni kwenye sehemu yeyote nayoishi binadamu hamuwezi wote mkawa sawa, hata hapo unapoishi kuna watu ambao wanatamani kenya isiwepo,mtu anatamani bora kenya ingeendelea kutawaliwa na wengine kuvuka mbali kabisa hutamani bora wangezaliwa europe ama amerca ,na wengine kuzamia kabisa ughaibuni..ila si wakenya wote ni baadhi tu na hiyo yote kulingana na msisha....

back to ze story fuatilia huu muungano upo vipi kuanzia dola na kila kitu kisha kafanye utafiti kwa kumuuliza mzanzibar mmoja mmoja kuhusu kuupependa muungano ama kuuchukia kisha urudi hapa na pure anwer kuliko kuropoka story za vijiweni[emoji1787]
 
We mzanzibar halisi kweli[emoji848] sidhani..... wazanzibar Huwa hawana matusi uliyo nayo ni wakarimu sana. Girlfriend yangu huko ndo kwao
kama wewe ni mkenya na una girlfriend mzanzibar,unadhani watz wana nini huko!!!

mpaka uhisi ni rahisi tu watu kudai muungano uvunjike!!!muingiliano uliopo kati ya zanzibar na tz bara una bond isiyo ya kawaida
 
Ni ukweli it research if zanzibar was given a choice wangetaka kujitawala.... hata wakati wa elections walitumiwa majeshi ndo watulie wanakamdamizwa na ccm
Si kweli hujui ulisemalo... Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni Natural hata kama isingekuwa 1964 lazima Nchi hizi zingekuwa Nchi Moja...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusiongee sana, Tuangalie kesho tukawapigie wapi,

 

Attachments

  • nickel-jet-engine_luka-slapnicar-yqeXLR81Uj0-unsplash-e1600199211758.jpg
    35.1 KB · Views: 12
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…