Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bwahahaha[emoji23][emoji23]kijiji km kijiji aisee
 
Wacha kujitetea kijana. Nusu ya Dar ni vijiji. Na mko busy hapa mentioning Dar's size wakati nusu ya hiyo ni vijijini kabisa. Bado nitaendelea kuleta hizo vijiji watu wajionee Dar ilviyo ๐Ÿ˜‚
Pamoja na kwamba nusu ya Nairobi ni zoo lakini bado vichaka Nairobi ni vikubwa sana, hii inasababishwa na nini kitaalam?
 
Hahahaha excuse me, what's this? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ