Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi ni pori na slums ndio maana mpo least kwenye urbanization ulishaona wapi metropolitan city inafuga mafisi na nyumbu? Zaidi ya nusu ya Nairobi ni zoo na inayobaki ni slums one-way
 
Weka aerial view ili tuamini waliosema Tz ni the most urbanized country in the region ni waongo, unaogopa nini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kama hujaaona aerial view hapo then I don't know what you understand by the word aerial view
 
Nairobi ni pori na slums ndio maana mpo least kwenye urbanization ulishaona wapi metropolitan city inafuga mafisi na nyumbu? Zaidi ya nusu ya Nairobi ni zoo na inayobaki ni slums one-way
Mtu akisoma mavi unayoandika kuhusu Nairobi anaweza fikiri kwamba Dar ina Gdp kubwa kushinda Nairobi.
 
Nairobi ni pori na slums ndio maana mpo least kwenye urbanization ulishaona wapi metropolitan city inafuga mafisi na nyumbu? Zaidi ya nusu ya Nairobi ni zoo na inayobaki ni slums one-way
Metropolitan cities zinafaa kuwa na vijiji 35 kms from the CBD 😂 😂
 
Mlikuja kujifunza Tanzania, na juzi tena mkaja kujifunza zaidi miradi inayosimamiwa na local government

Hii video ni baada ya katiba mpya kuanza kutumika. Kwa hivyo video ni irrelevant. Hatukujifunza kutoka kwenu Malazy. Tulijifunza kutoka nchi zenye heshima kama Marekani.
 
Soma article hio kwanza ndio utajua kwamba ugatuzi unasaidia Kenya. Serikali kuu ilikataa kujenga barabara huko. Sasa serikali ya kaunti imejenga lami huko. Najua hujasoma hio article.
Nmecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi kwann nchi yenu imekaa kiupigaji tu Mimi sikuwahi kuwaza kwamba kuna baadhi ya maeneo hata lami hayana...nyie wakenya mtakuja kuendelea baada ya miaka mingi sana kupita
 
Hatukujifunza kutoka kwenu. Kwani unadhani nyinyi pekee ndio mna ugatuzi?
Kenya has had the ministry of local government from way back when I was still a child. I remember people like Musalia and President Uhuru being local government ministers in the past. It was just renamed devolution ministry when Uhuru took over power. These bongolalas are in a dream of their own 😂
 
Mtu akisoma mavi unayoandika kuhusu Nairobi anaweza fikiri kwamba Dar ina Gdp kubwa kushinda Nairobi.
Ni mauchungu tu ndio inawasumbua. Knowing that you are playing catch-up is no easy thing 😂. Sometimes I understand their frustrations
 
Everytime i see this project naona Madeni tu yakiongezeka.
Kwani madeni yakiongezeka utakosa chakula nyumbani? Inakuhusu nini ikiwa madeni yataongezeka? Madeni ni yetu lakini wewe ndio unalia na kutoa machozi. Malazy mnashangaza.
 
unafanya selection za area [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

huku unamwachia nani yaani 18km mambo ndiyo yako hivi,,kuweni serious msipende kujichosha for nothing[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

18km from Nairobi cbd[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

hii kali
 
Everytime i see this project naona Madeni tu yakiongezeka.
Kwani madeni yakiongezeka utakosa chakula nyumbani? Inakuhusu nini ikiwa madeni yataongezeka? Madeni ni yetu lakini wewe ndio unalia na kutoa machozi. Malazy mnashangaza
 
Nmecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi kwann nchi yenu imekaa kiupigaji tu Mimi sikuwahi kuwaza kwamba kuna baadhi ya maeneo hata lami hayana...nyie wakenya mtakuja kuendelea baada ya miaka mingi sana kupita
Tutakuja kuendelea??😂 😂 😂
Now that's a classical example of the pot calling the kettle black. What makes you think Tanzania imeendelea kuliko Kenya?
 
Metropolitan cities zinafaa kuwa na vijiji 35 kms from the CBD [emoji23] [emoji23]
pale si kijiji ni sehemu yakimkakati,,,hatujatoa ruhusa ya kujenga kwanza hapo serikali inataka ifanye miradi yake ......siyo kikuyu hapo penye 18km from CBD chaka.....
 
Tutakuja kuendelea??😂 😂 😂
Now that's a classical example of the pot calling the kettle black. What makes you think Tanzania imeendelea kuliko Kenya?
Huyo tuusan ukisoma comment yake unaweza kudhani kwamba Tanzania imeendelea kushinda Kenya. Hata nimeshindwa kumjibu
 
Bongolala, Kikuyu is a constituency and it's bigger than what you think. It's also a rich agricultural land. The pictures you posted, what shows that's Kikuyu save for the first picture?

Secondly, did you forget that it's not within Nairobi boundary?

And lastly, did you forget that one of you posted a picture of a village right within Dar just 35 kms away from the cbd?
 
pale si kijiji ni sehemu yakimkakati,,,hatujatoa ruhusa ya kujenga kwanza hapo serikali inataka ifanye miradi yake ......siyo kikuyu hapo penye 18km from CBD chaka.....
Miradi gani wakati hadi nyumba za watu huonekana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…