Dogo kajitahidi sana mimi o level nilipiga phyics C Chemistry B Biology C na mtaani nikawa mtamu sana[emoji3][emoji3][emoji3] Nikazama PCB kuhenya na msuli mzito usiopimika
Haina mbaya, mimi nimekupa ushauri wa bure 😀Huo mtaa hta haushtui
Acha kupenda kubisha kila kitu.....the road ipo kiambu county. 'Nairobi western bypass ' ni jina tuIdiot there is a reason there is two counties i.e. Nairobi and Kiambu! U can't combine them to just suit ur ego of trying to prove the road is in Kiambu county yet it is called Nairobi western Bypass! Huo ni ufalamanga!
Just in case you didn't know, South Africa is not even the most urbanized country in Africa. North Africa is the most urbanized region in Africa with Egypt and Libya leading at 93 and 81 percent respectivelyWw ni rafiki yangu ila ww ni mavi [emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116]View attachment 1680004
Karatasi hata wewe siuko nazo mbona hutushawishi ?Wa tz waliosomea huku umuhimu wake wanaujua mpka sasa..
Karatasi za KNEC zina nguvu na ushashi mkubwa sana kwabza hapa africa
mimi Physics na Mathematics ndo zilintoa babu! Na foundation yangu nzuri kwa haya masomo ndo yananipa leverage ya hata kufanya coding now! na hata nafikiria ACCA!Noma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper [emoji23]. Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure[emoji23].
Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana[emoji23][emoji23][emoji23], kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu[emoji23], Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.
Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao [emoji23], Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL [emoji23][emoji23][emoji23]. Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
Noma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper [emoji23]. Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure[emoji23].
Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana[emoji23][emoji23][emoji23], kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu[emoji23], Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.
Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao [emoji23], Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL [emoji23][emoji23][emoji23]. Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
Ulifanya maamuzi mazuri...Mimi PCB ikinisumbua sana esp Physics lakini nilikomaa hadi mwishoNoma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper [emoji23]. Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure[emoji23].
Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana[emoji23][emoji23][emoji23], kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu[emoji23], Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.
Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao [emoji23], Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL [emoji23][emoji23][emoji23]. Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
Wakenya wengi tunaishi nao, ni vilaza tuu.Wa tz waliosomea huku umuhimu wake wanaujua mpka sasa..
Karatasi za KNEC zina nguvu na ushashi mkubwa sana kwabza hapa africa
Kuko poa kama Arushalook how green Nakuru isView attachment 1680229
Kwan western bypass haianzii nairobi??😁Acha kupenda kubisha kila kitu.....the road ipo kiambu county. 'Nairobi western bypass ' ni jina tu
View attachment 1680223
Feelings peleka MbagalaFeelings achia dada zako wewe
Logic ya coding huwa inafundishwa 'A' levels kwenye Math 2 (Advanced Applied Math).mimi Physics na Mathematics ndo zilintoa babu! Na foundation yangu nzuri kwa haya masomo ndo yananipa leverage ya hata kufanya coding now! na hata nafikiria ACCA!
[emoji23][emoji23] polen, kila mtu na uwezo wake.. wengine Mungu katujalia uwezo.. ALevel tulipiga pcm ya AAB.. B for physics [emoji847]
Wakenya wengi tunaishi nao, ni vilaza tuu.
Hongera mkuu ila daahh [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Noma sana Mkuu, mimi Physics siwezi isahau ilinidhalilisha siku ya paper [emoji23]. Nilikuaga siisomi kabisa na sikua na mpango nayo. Mwaka huo paper la mock nilipiga D safi, Masela wakanipamba duh, hujawahi soma hili soma na unapiga D, noma sana. Kumbe kuna swali lilikosewa tukapata marks za bure[emoji23].
Basi Miezi kadhaa mbele NECTA nikaingia zangu kupiga Paper la Physics. Kwenye practical masela wakakimbilia vifaa wanavyojua wakaliacha lile la dude sijui pendulum Bob lipo wazi. Nikaaa zangu pale nikawa nachezea chezea . Basi wire ule nikaukata kipande, Baada ya muda invigilator kapita kashangaa kidogo kaniuliza wire niliokupa upo wapi? Nikamwambia Nimeukata mrefu sana[emoji23][emoji23][emoji23], kumbe ile kitu ilikua Constant wakuu[emoji23], Alinifokea kwenye chumba cha Mtihaani “WE FALAA NINI” kamwita Askari nikapewa wire mwingine nikaendelea kuchezea hadi kuda ukaisha.
Matokea yakatoka nina mswaki kama kawa ila haijaharibu mambo yangu, Nikapiga ABB nikaenda zangu CBG , Nikasoma Miezi kadhaa ila walikuja walimu wa chuo somo moja walimu kibao [emoji23], Yaani kila mwalimu na topic yake, nikaona ni fujo nikakimbilia HGL [emoji23][emoji23][emoji23]. Piga zangu ABC huko NECTA A-Level , Nahisi ningebaki CBG nisengetoboa.
😅😅😅 Mbona unaanza kutafuta pa kutokea?Public offices mbona msizilete sai au bado mnasubiria yale majengo ya serekali ya dodoma..
Manake ujue sisi ofisi za serekali tulijenga kitambo sana, labda ulete za dar