Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha just nothing to show,mwanza bado Sana naipa Eldoret
🤣🤣🤣🤣🤣 kamasi zinakutoka amani mumekosa utabakia kutuonesha picha ya gorofa mbili tatu then kwisha 😄😄 ukija pale sehemu CBD ya mombasa ilipo imezungukwa na ushuzi kwanzia mwembe tayari mpaka mwembe bado 😅😅😅😅
 
Mama ngina Ni public park,wacha kutuletea nje za hoteli ufananianishe na mama ngina
Uliza kama hujui hio ni eneo limeshikana na public park yote ipo capripoint and its free hio hotel imejengwa na mwekezaji na pia ipo ndani ya public park 😃😃😃 ulikua hujui au
 
Hahaha mwanza kweli utaweza Mombasa na huo uswazi wake😹
 
Umeshangaa etiii 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…