Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ati that dilapilated Mombasa airport is one of the largest in the region? Kilimanjaro n Zanzibar airports beat Mombasa airport hands down as far as PAX numbers r concerned! That port in Mombasa can be compansated with number of gold mines, fish processing factories n gold refineries in Mwanza
 
Sasa kama lile eneo mwenzenu ameconfirm is 35 kms from the CBD bado unataka tu tufananishe Dar na Nairobi? Huoni hats aibu? 35 kms from Nairobi and huwezipata sehemu iko wazi hivyo. Kama nadanganya prove me wrong
ikiwa 10-20km kutoka cbd tu imewashinda kujenga mnataka kulinganisha km za ujenzi wa nairobi kwa dar seripusly....[emoji23][emoji1787][emoji1787]

wayaki,kikuyu n.k....

hizo sehemu bado sana ni local spaces za kutosha na ni km chache tu kutoka cbd yenu....

huwa mnapenda sana kujifurahisha
 

Attachments

  • 20210117_125050.jpg
    52.5 KB · Views: 22
  • images.jpg
    38.6 KB · Views: 24
Dar ni kubwa kieneo hatukatai ila most of it ni jina tu, hakuna kinachoendelea. Most of that 1500 square kilometers haijajengeka and that photo posted here yesterday is a clear proof. Ni kijijini kabisa
Nilisema mm huyu ni Mkunya poa ila ana Upuuzi flani hv, eti anajifanya hajui kwnn Tz ni the most urbanized country in East and central Africa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wapo watakaosema ni render [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Dar imeshaiacha Nairobi kwa mbali sn mkuu.
 
Shida yake anataka kuiondoa ile mentality iliyojengeka kwamba Nairobi sehemu kubwa ni pori so anataka na Dar nayo ionekane hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wacha ufala infrastructure ipi ya kujitamba Port Reitz Mombasa highway haina hata mwaka inamong'onyoka! Mwanza ina kila kitu cha kuzidi Mombasa! Tena superior infrstructure na hata SGR inajengwa tena ya umeme!
[emoji3516][emoji3516][emoji375][emoji2923][emoji373]
 
Hii KImara Kibaha road yenu ndio kama Thika road yetu kwa upana lakini tatizo ni kwamba Kimara Kibaha road ni 19 km ilhali Thika road ni 40 km. Kwa hivyo bado tumewapiga.
Inaendelea kujengwa hiyo inatakiwa ifike mpk Morogoro, na nadhani itakuwa the longest in the region.
 
Mu7 anaapishwa lini?maana magu anaelekea kagera isije ikawa atavuka border to uganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…