Nakuonyesha picha ya CCTV camera iliyopigwa leo na wewe na wazimu yako unasema kwamba hii ni picha ya 2018? Malazy wengine wanafikiria vipi?Mkimaliza kufunika handaki hilo njoo sasa tuongee. Sasa hivi utatuonesha vitu mlivyotuonesha 2018, miaka mitatu iliyopita.
View attachment 1677607
Tulia lianze kuzalisha mbuNakuonyesha picha ya CCTV camera iliyopigwa leo na wewe na wazimu yako unasema kwamba hii ni picha ya 2018? Malazy wengine wanafikiria vipi?
Picha imepigwa leo ni sawasawa kabisa na ile iliyopigwa 2018.Nakuonyesha picha ya CCTV camera iliyopigwa leo na wewe na wazimu yako unasema kwamba hii ni picha ya 2018? Malazy wengine wanafikiria vipi?
Nionyeshe ya 2018Picha imepigwa leo ni sawasawa kabisa na ile iliyopigwa 2018.
Usimcheke mamba kabla haujavuka mto.Hawa polisi wa Uganda jameni. Yaani hata aibu hawana kabisa. Halafu wana unyama sana.
Mmeweka uchafu tu hapo baharini bora mngeendelea kuzama na lile dude lenu
Rejea kwenye thread yenu mliyoiweka hapa miaka mitatu iliyopita.Nionyeshe ya 2018
Tunakoelekea ni kwamba kila baada ya lisaa KITASA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona wamerudisha tena assembling plant...wameona fursa View attachment 1677585
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]2021 mtungi wa gongo loading....
Kasema ukweli, yaani akipewa nchi atakuwa anabadilisha mademu state house!Anasema Bobby wine is a disco man. Hahaha
Lia tu, na floating bridge inachapa jobMmeweka uchafu tu hapo baharini bora mngeendelea kuzama na lile dude lenu
mmekuwa kama watoto sasa[emoji1][emoji1]Lia tu, na floating bridge inachapa job
afadhali hawa wanadhalilishana.Hawa polisi wa Uganda jameni. Yaani hata aibu hawana kabisa. Halafu wana unyama sana.
Nahisi huu mwezi vitu vinaweza ingiaMwaka huu tutapanda treni bro hata ikiwa December
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Swali langu ulikimbia nilikuuliza nairobi 88 mumeanza kujenga lini 🤣🤣🤣
Wacha unafiki yule anayekanyaga kichwa cha jamaa kwenye kerbstone ni wa wapi?Hawa polisi wa Uganda jameni. Yaani hata aibu hawana kabisa. Halafu wana unyama sana.
Nyie bado Sana mkianza kujenga bongo tutakuwa hapa full electric👇👇👇🙂BRT bus yetu ni kali kushinda yenu.