Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

What? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hiyo unadhani “highway” haitumiki marekani? Wewe ni mjinga! Mimi sijakuonyesha picha! Nimekuonyesha neno “super bridge”
Hehehe!!naona umeanza kuchanganya ma-file sasa..
Nimekwambia freeway na super higway ni neno ambalo linatumika kw barabara km hizo..
Sasa wewe km hutaki shauri yako..

Unajua maana ya super bridge kwanza, kw akili zako zako bridge ya design ni ya kwaida wala sio super sio[emoji2960][emoji2960]
 
Please do your research kabla ya kujiabisha. All freeways are highways but not every highway is a freeway!
Naona hutaki kukubali baada ya kukwambia hvyo..
Super higway pia inaweza kuwa freeway au bado unapinga
 
kikihboy njoo huku wameanza kuteseka na picha tatu tu[emoji23]
 
Kwakweli sitapoteza muda wangu kwa kichwa boba kama wewe. Kwa Heri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…