Wataliita the most expensive bridge in east n central Africa huku wakijua kabisa hakuna kituWakati tunaanza salendar walikuwa nawenyewe wanaanza. Lakini sioni hata picha ya ujenzi was hii kitu
View attachment 1676443
View attachment 1676391
Wakenya mumeanza zen Tanzania tunamalizia...utandikaji wa mataruma ya SGR kwenye Viaduct ni mwendo wa mchaka mchaka
raised platforms kama hizi zipo Ulaya na Tanzania tu hata Tony254 anajua! 🤣☝️View attachment 1676391
Wakenya mumeanza zen Tanzania tunamalizia...utandikaji wa mataruma ya SGR kwenye Viaduct ni mwendo wa mchaka mchaka
Wakikubaliana kwenye bandari mchina lazima atatoa na mkopo wa sgr, mchina akitoa hata 2b usd sgr inafika kgmMi nangoja resurrection ya project Bagamoyo port, nimedokezwa kuna behind the scene manouvres za kufa mtu! yaani ni tiktak kwenda mbele, likiibuka lazma jirani alie nyau!
Mkopo utasaidia SGR kukamilika haraka! Ila uwe wa nafuu si kama ule wa "capitalist Kenya"!Wakikubaliana kwenye bandari mchina lazima atatoa na mkopo wa sgr, mchina akitoa hata 2b usd sgr inafika kgm
Tuonyeshe mradi wowote wa kenya ambao tumeupa jina the most,modern, nk.Wataliita the most expensive bridge in east n central Africa huku wakijua kabisa hakuna kitu
Hotel ya mwanza ilishaisha kazi iliyobaki ni Akipatikana mwendeshaji inamaliziwa kwa matakwa ya mwendeshaji.Ila JPM afanye maarifa majengo ya NSSF yaishe yani ile hotel Mwanza na Mzizima towers. Yanakaa yanaanza kuoza! Si sawa kutelekezwa, tayari fedha za mfuko zilishawekezwa na miradi ile utekelezaji wake upo zaidi ya 60%! Ni sabotage kuyaacha vile ikizingatiwa ita-create ajira!
Duh!!! Yamekuwa hayo leo!!!!?Tuonyeshe mradi wowote wa kenya ambao tumeupa jina the most,modern, nk.
Hyp ndio hulka yenu bana
Geita hzikufaidika kabisa na dhahabu wacha nao wafaidiUniversities nasikia kama 2 ivi
Kiwanda cha kuchakata nyama
Kiwanda cha kuchakata Samaki
Kali Sana🤣🤣🤣🤣Hawa sio ndugu zetu mkuu, cc ndugu zetu labda angalau waseme waganda ila hawa ni jirani zetu au kufupisha maelezo unaweza kuwaita Takataka kama Takataka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1318]Tulia Nairobi expressway iishe ndio uone the first barabara ya juu kwa juu hapa Africa Mashariki
Tuonyeshe mradi wowote wa kenya ambao tumeupa jina the most,modern, nk.
Hyp ndio hulka yenu bana
As if Nigeria haina![emoji1318]
Tena wewe ndio unyamaze kabisaTuonyeshe mradi wowote wa kenya ambao tumeupa jina the most,modern, nk.
Hyp ndio hulka yenu bana
Ngoma inatoka kama ilivyo....Hawana uwezo wa kuheshimu render cz hawana pesa, ona the real MIC inavyoheshimu render [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1676178View attachment 1676181
Aliesema nani🤣🤣🤣👇👇👇LAKINI BADO NYINYI MASKINI MBELE YA KENYA