Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata mimi nimenotice barabara nyingi tu hapo zikionyeshwa unpaved wakati ziko paved.
 
Nimekwambia kwenye barabara ni uongo. Ninyi mnapika data. Tunaweza kuanza tu kuelezana barabara kutoka wapi kwenda wapi na urefu wake.

Flyovers tena ni uongo.
Nyie mnapika dada na mnadanganya
 
Mmh wacha kujidanga Teargass tz in madaraja mengi na yanayoendelea kujengwa ni mengi pia yatakuchanganya kichwa ngoja nikuinyeshe machache tu . Mkapa bridge 900m
. Kirumi bridge mara Teargass
. Drone footage of kirumi bridge mara Teargass
. Kigamboni bridge Teargass unanipata vizuri .? Kaka The best 007 ongea nae shemeji yangu
. Kikwete bridge Teargass hiyo ni mto malagarasi
. Ngara hiyo Teargass vitu vya hiv kwenu ni hakuna.mnaibiwa tu na wachina
. Magufuli bridge kilombero Teargass
. Madaraja Yanayoendelea kujengwa tz Teargass
. Sarenda bridge Teargass kwenye suala la madaraja Hamtuwezi hata kidogo
. Daraja la wami Teargass
. Pangani bridge tanga Teargass
. Umoja bridge Teargass
. Kelema bridge zaidi ya 200m+ Teargass sisi sio said yenu wewe mama
Wakuu mnaona kipigo anachopewa mtu kwenye madaraja, hahahahahaaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwenye bridge sidhani kama tunaweza kushindana na nyinyi. Mko vizuri zaidi. Ni vizuri kusema ukweli. Lakini nyie kwenye malls na kwenye barabara hamuwezi kutugusa.
Kwenye malls huenda mnatuzidi mana cc kipaumbele chetu ni markets ila kwenye roads wacha kabisa usiguse utaumia, nyie zaidi ule uchafu wa maduara mawili hakuna mnachoweza kutugusa km unabisha twende kazi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Limeanza kujengea lini ??? Hebu tukumbushe kidogo manake toka naliskia leo inakwenda mwaka wa tano 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…