Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kawaulize scannia wameingia kinyangayiro cha BRT ya wapi
Media zenu huwa zinawadanganya sn, hbr ya Tz wanawaambia ya kwenu nanyi mnaamini bila ku argue, ss scania wameingia kinyang'anyiro cha BRT je nyie mna brt? [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

 
Umeanza kuchisija sasa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kina kina nani ambao hawana sgr airport, interchange, madaraja

Unatafuta mchawi nani
Kuna moja umeruka apo, hzo nyingine huenda zinafanana so unaweza kujitetea ila kuna moja huwezi hata kuweka ufanano na kwa tahadhari tu umeiruka [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Baada ya Tz kuwa nchi ya kwanza EAC kuingiza technology mpya mfano cable stayed bridge, electric sgr, 3level interchange etc, now it plans to introduce cable cars in Kilimanjaro region which will be the first to be seen among EAC countries[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]

 
Hapa kwenye VB nimegusagusa ingawa sikwenda deep sana.
 
Vila Rosa Kempinski is an international brand. Wewe endelea kula kwa kibanda cha mama ntilie. Mambo haya huyaelewi.
kabisa siyaelewi...

ila kama ni real international hotel kwanini kuwe na kunguni.....?[emoji41]
 
obama mara sijui wa izrael. nini hii mpo outdate sana kwenye masuala ya hotels...

ninawasiwasi hao viongozi kwenye hiyo hotel bila shaka walipambana na kunguni wa kutosha sema wakaamua kuuchuna tu[emoji1787]
😂 😂 😂 una mauchungu sana ndugu. Punguza stress, it's never that serious!
 
katoa povu ambalo linatosha kufua nguo zote za familia nyumban
Wewe umefanya nikuchukie sana. Wewe ni umbwa tu. Ukitaka details zangu zote naweza kuzimwaga hapa. Malaya wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…