Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,196
- 107,793
hahah wacha wivu mzee unajua A to Z katika huu uzi!Mimi sina muda mwingi wa kufuatilia uzi huu mrefu ambao hauna mwanzo wala mwisho. I have better things to do. Huwa naingia kwenye uzi huu dakika chache tu na kuondoka.
Nimeona imewauma sana. Nimejaribu kutafuta post yako but sijaiona. Unaweza kunipatia number ya post yako ndio niende kuziangalia coz hata mimi sijafuatilia sana mambo ya soko ya Kenya au TanzaniaMajamaa wameanza kupost mapicha za soko after kuona nimepost za Kenya. Bahati mbaya wamepata kama mzigo umekuwa mzito kwao[emoji1787][emoji23][emoji23]
Another post another render[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] Hata sisi pia tuko na renders nyingi sana[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Endeleeni kupiga soga sisi tunaendelea kuonesha ubabe wetu kwenye hii sekta pia, tulivyowanyoosha kwenye Govt schools hii nayo hamuwezi gusa.Wacheni kurudia. Kila mtu anapost Njombe market. Wacheni ujinga. Post markets tofauti tofauti
Sio kwamba hajafuatulia ni wanaogopana kukosoana [emoji23][emoji23][emoji23]Umefuatilia sn tu wacha kumpa moyo, mambo yote yapo hadharani na hii co mara ya kwnz ku battle markets ila huyo ndg yako huwa hakubali kushindwa, huwa anaona km mzigo wote wa maumivu kabeba pekeake Kenya nzima [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Soma maoni ya Chehg kwenye hio postWhen JPM gets the best out of Yapi Merkezi and CCECC
View attachment 1672592
View attachment 1672594
View attachment 1672593
CC: Tony254
Hakuna shida as long as sio post ya mtu mmoja twende kazi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204]Another post another repetition[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].
Anzia hapa[emoji115]
Nimeona imewauma sana. Nimejaribu kutafuta post yako but sijaiona. Unaweza kunipatia number ya post yako ndio niende kuziangalia coz hata mimi sijafuatilia sana mambo ya soko ya Kenya au Tanzania
Kumbe unapiga T-SQL.When JPM gets the best out of Yapi Merkezi and CCECC
View attachment 1672592
View attachment 1672594
View attachment 1672593
CC: Tony254
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sio kwamba hajafuatulia ni wanaogopana kukosoana [emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi gani? Ya kurudia mapicha?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]Hakuna shida as long as sio post ya mtu mmoja twende kazi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji204][emoji204]
napiga ama nafundisha? Kuna mtu atanishambulia! Atasema najisifu! 🙄 🤫Kumbe unapiga T-SQL.
Mimi huwa sishindi kwenye uzi huu. Sina huo muda wa kupoteza. Uzi huu huwa mrefu na hauna mwanzo wala mwisho. Nikipata muda kidogo I prefer kuingia Jf na kusoma comments za nyuzi zingine lakini sio hiiSio kwamba hajafuatulia ni wanaogopana kukosoana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jamaa uko confused sana[emoji1787][emoji23][emoji23]. Unaandika Kigamboni market wakati render imeandikwa Kibada Market. This battle has really exposed you[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
sasa kibada ipo wapi? ficha upumbavu!Wewe jamaa uko confused sana[emoji1787][emoji23][emoji23]. Unaandika Kigamboni market wakati render imeandikwa Kibada Market. This battle has really exposed you[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Oh!! good. Assembly, C, C++,C#, JAVA, P-SQL and T-SQL ni vyakula vyangu.napiga ama nafundisha?
Mimi huwa sipo kwenye uzi huu sana.hahah wacha wivu mzee unajua A to Z katika huu uzi!
Unapita kimya kimya bila kuacha hata nukta.Mimi huwa sishindi kwenye uzi huu. Sina huo muda wa kupoteza. Uzi huu huwa mrefu na hauna mwanzo wala mwisho. Nikipata muda kidogo I prefer kuingia Jf na kusoma comments za nyuzi zingine lakini sio hii
Fungua video, makosa madogo tu hayoWewe jamaa uko confused sana[emoji1787][emoji23][emoji23]. Unaandika Kigamboni market wakati render imeandikwa Kibada Market. This battle has really exposed you[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kichwa Ng'ombe katika ubora wake.Hata kwetu intersections zipo..
Hapo ingelikua bongo mngeli ongeza mara tatu[emoji1787][emoji1787]View attachment 1671371