Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukiacha hiyo broken English unayojivunia kuna kingine unachojua?[emoji3][emoji3] Umekosa facts unaanza kuongea pasipo facts [emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
Alitudangaya kweli ila katoa sababu za kuanzia diesel alafu ujue treni yetu inaiwezo wa kuendeshwa kw umeme pia..

Ni mda tu ndio utasema ila kwa sasa najua utapinga
Peleka uzwazww mbele....
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nilikwambia mm kuna siku utalia na utamwaga povu unaona sasa yamekukuta
 
So 🀣🀣🀣🀣🀣 ww utanidanganya nn mm kuhusu kenya labda turkana na wajir na lamu ndio sijafika lakini hzo sehemu zilizo bakia hakuna sehemu utanidanganya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Ona uchafu wa Mombasa huo, kujenga ndo hawataki, wameng'ang'ana na majengo ya mkoloni, gharama yao rangi tu, wazembe sn nyinyi [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
🀣🀣🀣🀣 na siku akilipa hii suburb na density hii munitag
Mm hua nazungumza na ushahidi sio porojo πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…