Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo yamekua hayo, kwn european standards hamuitaki tena[emoji1787]

Mara ya kwanza mlimkejeli kisa mturuki kakubali pesa kidogo sasa madhar yake mumeanza kuyaona imebidi mrudi kw mchina..
Ila poleni sana jamani, sai ingelikua mnachanga mbuga dar moro lkn mturuki hakuwapenda[emoji1787][emoji1787]
Itabidi mumpeleke mahakamani
 
Ushaanza kua pc mbovu, ingekua sifa sana kama tungeanza first electric sgr ikiwa double stack
Mumetandikwa wajumbe, kubalini tu jamani wala hamtokufa...
Mturuki sijui mwaka wa ngapi huu ana haha tu
 
Maumivu ya kichwa uanza taaratibu na maumivu yakizidi njoo TZ tukutulize. Only time will tell my dear Komora! ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
Mwakani vipi, manake tangi 2019 sisi tunasubiria mwakani tu[emoji1787][emoji1787]
 
League ilikua za shule za msingi au shule kwa ujumla [emoji316][emoji316][emoji316] kwanza shule zipi mlizopost? Hata sijaona!
Kujitoa ufahamu pia sio mbya..
Mliona hali ya primary ni mbaya tena zetu za slums ikabidi mkashoot mpka kw technical schools..
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ kiboko yake iko hapa ikiweza kutoka hapa nitag ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‡

 
I meant kwamba nyie mna-boast sana kuhusu nchi yenu kulikohali halisi wakati sisi tukisema jambo ni kweli siyowatu wa kupika data na kujitukuza bila sababu. We always speak the truth as far as our country/nation is concerned, we never cook data or make baseless boasting.
 
kampuni iliyo tengeneza sgr ya kenya ni CRBC ambao sio speciality yao as compared to CCECC and CRCC ambao ndio wabobevu tena wanashirikiana kujenga electric sgr ya tanzania. hili kweli limeniondo shaka kuhusu quality to expect pamoja na Chinese's foreign minister akiwepo leo sidhan kama watajaribu kuvurunda
 
Sijawahi kuona mkenya kilaza kama wewe, tunnels atengeze za kuaccommodate double stack, cable avurunde? Kaa kushoto na argument zako za kipimbi [emoji117][emoji117][emoji117]
Lete ushahidi hapa wa tunnels za double stack..
Cable tayari keshachemsha, we wajua cables za double stack zinakaje kwanza au ni kelele unatupigia tu hapa..

Huyo mkorea anawauzia treni zipi hzo za double stack
 
Engineers,naomba mnisaidie hizi barabara kuna utofauti kati ya tarmac na asphart concrete???..na ipi ya kibabe kati ya hizo??
 
Lete ushahidi hapa wa tunnels za double stack..
Cable tayari keshachemsha, we wajua cables za double stack zinakaje kwanza au ni kelele unatupigia tu hapa..

Huyo mkorea anawauzia treni zipi hzo za double stack
LOL kwa hiyo serikali iliyoagiza 50 double stack container wagons hawana akili, wewe ndio mwenye nazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ