Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahaha eti mombasa ishindane na mwanza🤣🤣🤣👇👇

Good afternoon ichoboy01? was passing by again nikaona bado unalia lia na Mombasa😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 One area!! Eldoret kiboko ya Mwanza kabisa😂😂😂😂 cant even level with Machakos, Thika na Kiambu residentials kamwe! mbona kujifariji kaka?🤷‍♂️😂😛
Ukipata such👇👇 in Mwanza nafunga account!


Na ukipata residential Mwanza kama yenye iko hapa👇👇Eldoret nitag please..,

 
Wewe endelea kubwabwaja tu while East Africa's super power is loading at amazing speed!
 
habari kama hizi ni mbaya sana kwa wakenya [emoji23][emoji23]
View attachment 1670962
Hii technique anayotumia jiwe ni the best sn, yn kipande hiki wanajenga waturuki, kipande hiki wachina lkn treni wata supply wakorea, yn hapo wanashindana ili kutoa kitu quality wapate tenda zingine.

Sio km jamaa zetu kila kitu wamempa mtu mmoja mwishowe anafanya kazi kwa mazoea cz hata akiharibu tender zipo tu.

Big up to My president, H.E Dr. John Pombe Joseph Magufuli a.k.a Mr. SGR buldozer kiboko ya Mungiki [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
Hahahaha sijategemea kujua wakenya hawana shule kabisa, sasa hiyo elimu wanaosema ipo juu wanajifunzia wapi?
Kwao elimu nikujua kuongea english tu wanadhani ukiongea kiswahili basi huna elimu. Na hii kasumba ni muda mrefu sana Kenya hata ndani ya Kenya yenyewe japo kwa sasa imepungua sana na wengi wanaanza kuzungum,za kiswahili.
 
Sio wamempa, hawawezi kuchagua constructor sababu jeuri ya pesa hawana, wao wametoa eneo tu mchina atajenga kwa viwango anavyojua yeye na kujisimamia mwenyewe na kuendesha mwenyewe miaka zaidi ya 30 mpaka atosheke ndio awakabidhi 🤣
 
Kwao elimu nikujua kuongea english tu wanadhani ukiongea kiswahili basi huna elimu. Na hii kasumba ni muda mrefu sana Kenya hata ndani ya Kenya yenyewe japo kwa sasa imepungua sana na wengi wanaanza kuzungum,za kiswahili.
Wapuuzi sana
 
Unaweka mpk mitumba mnayobadilisha lebo
Unaweka mpk mitumba mnayobadilisha lebo [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Kenya EPZ export more apparel under AGOA than tz so l can understand the jealousy,We export LEVIS,WRANGLER,CALVIN KLEIN,VICTORIA SECRET GARMENTS and many more.Do your research first before posting nonsense,mature up!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…