Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umetumia haki yako kutoa maoni! Hata hivyo maoni yako hayana usahihi sana! Utatuelewa 2025 maana kwa Sasa ni wazi hujaNg'amua! Historia ya serikali hii ni kuvunja rekodi za 'projections' zenu!
Pia ikumbukwe kuwa utekelezaji wa mipango ya serikali inalenga kukwamua wananchi hasa maskini na kamwe haina lengo la kushindana na nairobi wala jiji lolote ulimwenguni! Kama tutataka ulinganifu basi itakuwa tokyo, New york, toronto, paris etc, haiwezi kuwa nairobi!
 
Sisi matajiri 🤣🤣 lakini pesa yakulipa wahudumu wa afya hawana

Hawa jamaa hata sijui wanapata wapi ujasiri wa kuongeaongea tu na kujigamba tu wakati secta ya afya ipo kwenye migomomigomo kisa maslahi!
 
Teargass barabara za tz zina michoro safi,muache kusemaga eti barabara za tz sio marked
View attachment 1670434
Hao wanauliza hivyo kutokana na kilichopo kwenye barabara zao, nyingi hazipo marked the same way wanavyotafuta slums kwakuwa ndio maisha yao.
Ndio maana wabongo hatunaga maswali ya namna hiyo kwakuwa tumezoea roads lazima ziwe marked
 
Najua huna evidence. Wacha tungoje.
tega sikio na macho, usikie na kuona mkataba ukisainiwa! siye hatuchukui mkopo kwa Mwanza-Isaka lot na hata tukija kuchukua hatuchukui mikopo ya Ufalamanga! Naomba usianze ujinga wa kipuuzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…