quote shule yoyote ya kenya imepostiwa unaona si public school acha kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna shule ya serikali mliopost, zote mlizopost zimejengwa na wafadhili wazungu na nyingine umekiri mwenyewe 80% zinafadhiliwa na taasisi za kidini
Pamoja na hivyo bado tumewakalisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dodoma bado ina wapapasaKenya High School. Wengine watasema hii ni private school😂😂😂
View attachment 1668618View attachment 1668619View attachment 1668620
Sasa umeanza kupost picha bila jina?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeogopa ama nini?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Hii shule ipumzisheni sasa 🤣🤣🤣🤣Kenya High School. Wengine watasema hii ni private school😂😂😂
View attachment 1668618View attachment 1668619View attachment 1668620
Unataka jina ili ukaombe kazi? 🤣🤣🤣🤣Sasa umeanza kupost picha bila jina?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeogopa ama nini?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Naona unaomba time out[emoji1787][emoji23][emoji23]. Malizeni tu venye mlianza na mioto[emoji23][emoji23]Hii shule ipumzisheni sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Waliosema ni scannia wala sio mm[emoji23][emoji23][emoji23]Nani alikwambia kenya muna aseemble scania trucks nani aliwadanganya nyinyi [emoji1787][emoji1787] kama ni assemble za mabasi tanzania ipo mbona shida ilikua kwenye trucks[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] View attachment 1668044View attachment 1668046View attachment 1668047View attachment 1668048View attachment 1668049View attachment 1668050View attachment 1668051
Jamaa kanaogopa kutaja jina. Kama wewe ni mwanaume kweli ebu taja jina la hilo shule.[emoji1787][emoji1787]Unataka jina ili ukaombe kazi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani hata robo ya shule za serikali sijazipost, zipo tele zinanielemea hapa 😂😂😂😂Na hapo bado hamjaingia hata kwenye zile shule za technical [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nenda One Planet School naona unataka kutuma applications, hatuajiri wakenya no longer 😅😅Jamaa kanaogopa kutaja jina. Kama wewe ni mwanaume kweli ebu taja jina la hilo shule.[emoji1787][emoji1787]
Mumeshindwa sasa mnatafuta pa kutokea[emoji23][emoji23][emoji23]Finishing ndo huwa mtihani, ona [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]View attachment 1668077
Wamekimbia ligi ya primary schools kw kasi ya mwanga[emoji23][emoji23]So there are no Primary Schools in Tanzania to compare na za Kisumu[emoji23][emoji23]
Hizi shule tuziache kidogo kwanza, hizi zitakuja kuweka shada la maua juu ya kaburi 😂😂😂
Wapi Ihungo
Wapi FEZA boys
Wapi FEZA Girls
Wapi Waja Boys
Wapi Waja Girls
Wapi Pugu Sekondari
Wapi Minaki
Mtawaua hawa acheni hii ligi hawaiwez
Hilo ni bati type gani[emoji23][emoji23]Nyie rangi ndo mmeshindwa kabisa kupaka, bei yake sh ngp kwn? Alafu bati km kawa yn Kenya na bati kama teja na unga [emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji85][emoji85][emoji86][emoji204][emoji86][emoji86]View attachment 1668248View attachment 1668249View attachment 1668250
Kw tanzania labda, akili zenu zimedumaa ndio manake mnaamini hvoNikusaidie. Ukiona neno St. Ujue shule hiyo siyo public ni ya kanisa.
Primary schools vs sec schoolsWakenya tukisema Tz iko mbele yenu kila kitu tunamaanisha, angalieni Government school za Tz zinavyofanana na wala haturingi bado tunajenga zingine nyingi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]