Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unakataa kwenu huko Nyeri Kibera. Kwikwikwikwi. Vijana wa Nairobi makelele meengi kumbe zero tu. Kila kitu tunawagonga. Ulizi kwenu ni zero hakuna cha maana zaidi ya matope kibao Nairobi. Magonjwa ya wanyama yatawamaliza.
hahaa...sasa wewe ndio unajua kwetu tena.haya bana
 
Nani kakwambia pikipiki hizo ni Security. Hao ni fans na wapenzi wa Music bongo. Sisis hatuhitaji kulindwa tunajilinda wenyewe.
oooh...sasa ulikua wamaanisha nni kusema mambo ya security
 
hahaa...sasa wewe ndio unajua kwetu tena.haya bana
Tuliza domo lako hilo maana Nairobi hakuna chochote zaidi ya Kuishi wanyama na watu wanaokimbia kama punda.
 
oooh...sasa ulikua wamaanisha nni kusema mambo ya security
Hakuna watu kujumuika huko Nairobi maana Security ni Zero. Vijana wanachukua tuzo na kupokelewa kwa shangwe. Nyie kwenu mambo haya mnayasikia tu. Mkikusanyika mnaogopa kuvamiwa na Mungiki.
 
Hakuna watu kujumuika huko Nairobi maana Security ni Zero. Vijana wanachukua uzo na kupokelewa kwa shangwe. Nyie kwenu mambo haya mnayasikia tu. Mkikusanyika mnaogopa kuvamiwa na Mungiki.
usiku mwema naona umecatch mafeelings...feelings peleka labour room
 
Huna uwezo huo dogo.
Check mapokezi ya Rayvan toka BET kuchukua tuzo yake. Nairobi Security ni zero watu hawawezi fanya chochote

DSC_1557-950x634.jpg

DSC_1584-950x634.jpg

DSC_1615-950x634.jpg

DSC_1660-950x634.jpg

DSC_1682-950x634.jpg

DSC_1693-950x634.jpg

DSC_1715-950x634.jpg
Security ipi hapo?watu wa boda boda ndio wa tuimbia hapa,halafu kenya hua tuabudu wasani kama nyie,kila mtu hujiamini kiviake
 
Security ipi hapo?watu wa boda boda ndio wa tuimbia hapa,halafu kenya hua tuabudu wasani kama nyie,kila mtu hujiamini kiviake
Ndio umpumbavu wenu huo. Ndio maana hata watu wakifa na njaa kwenu you don't care. You just care about Kikuyu Only. Wengine mnawaona kama wanyama. Wanakaa kwenye mabanda kama nguruwe. Kwikwikwikwi. Huo ni ushamba wala sio ujanja.
 
Security ipi hapo?watu wa boda boda ndio wa tuimbia hapa,halafu kenya hua tuabudu wasani kama nyie,kila mtu hujiamini kiviake
anataka kina stl na sauti sol wakija tuache kazi tuende jkia na pikipiki tukiwaimbia mpaka tao...lol.utatoka kwa gazeti pande ya vichekesho the following day..si makosa yao.ni ujamaa
 
anataka kina stl na sauti sol wakija tuache kazi tuende jkia na pikipiki tukiwaimbia mpaka tao...lol.utatoka kwa gazeti pande ya vichekesho the following day..si makosa yao.ni ujamaa
Hao hawawezi kupata Award hata moja. Wataishia kuimba imba tu makanisani. Kwikwikwikwi
 
anataka kina stl na sauti sol wakija tuache kazi tuende jkia na pikipiki tukiwaimbia mpaka tao...lol.utatoka kwa gazeti pande ya vichekesho the following day..si makosa yao.ni ujamaa
Hawajui sisi kila mtu huishi kwa jasho lake, ukijis shughulisha na mambo ya watu wengine utaumia
 
Back
Top Bottom