Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Off course there is corruption in Tanzania
Have you seen ccm bosses in the name of regional commissioner vehicles utahurumia uhuru Kenyatta
 
Ambia ichoboy akupostie magari ya regional commissioner wa Tanzania utashutuka
 
I heard a certain warthog saying that East Africa now prefers Dar Port. I'm sorry to tell you that mtangoja sana Dar Port kufikia Mombasa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji116]

View attachment 1665028

hata kutumia akili ya kawaida unashindwa.. hayo ni magar yanatembea barabaran (hayabebwi na lorry wala treni).. umbali wa kenya na uganda ni almost 1,200km na tanzania na uganda ni 1,800.. sasa kwann waangaike kutumia kupita tanzania
 
Kenya is not a lazy country[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

 
Sasa leo mmechange tune?[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwani venye mlikuwa mnasema waganda watakuja Dar kuiacha Mombasa kwani hamkujua the distance from Mombasa to Uganda was shorter than Dar to Uganda?[emoji23][emoji23][emoji23].
hata kutumia akili ya kawaida unashindwa.. hayo ni magar yanatembea barabaran (hayabebwi na lorry wala treni).. umbali wa kenya na uganda ni almost 1,200km na tanzania na uganda ni 1,800.. sasa kwann waangaike kutumia kupita tanzania
 
I can see you were surprised to notice that our special police are using Kenyan made rifles. This is the gun they use and it's called CMZ 4.
1. Where they are made.
2. Special forces that are using it.
3. Its first mission.
 
Sasa leo mmechange tune?[emoji23][emoji23][emoji23]. Kwani venye mlikuwa mnasema waganda watakuja Dar kuiacha Mombasa kwani hamkujua the distance from Mombasa to Uganda was shorter than Dar to Uganda?[emoji23][emoji23][emoji23].
wewe umeanza kulia kabla ya msiba.

kwani hujajua wanapitisha hapo kwa sababu ndio pekee kuna garimoshi kwa sasa!!!!!

subiri msiba kamili utaelewa,si tunajua huwa mnaelewa taratibu sana.
 
Leo ndiyo nimejua hawa jamaa wengi ni weupe tu. ATCL siyo PLC hivyo hailazimiki kuweka financial statements zake public. Hakuna kampuni haina financial statements mwisho wa mwaka wake wa fedha. Tofauti ni "publishing".

Hawa jamaa bure kabisa.
Km manunuzi tu bajeti yake haijulikani, ndio aje ajichanganye aweke reports
 
Atcl haimiliki ndege, bali jiwe ndio kazinunua kimabavu hata bila kuitisha bajeti bungeni..

Kwhyo atcl kapewa ndege achape kazi km anavyotaka mkulu..
 
hata kutumia akili ya kawaida unashindwa.. hayo ni magar yanatembea barabaran (hayabebwi na lorry wala treni).. umbali wa kenya na uganda ni almost 1,200km na tanzania na uganda ni 1,800.. sasa kwann waangaike kutumia kupita tanzania
Kwhyo hii ishu ya uganda mnateseka bure tu jamani kisa wivu
 
Mjinga nenda nae kifalambwanga[emoji1787][emoji1787]
Mwisho atauliza babazao walizaliwa wapi
kwani ni shingapi kumtaja huyo mgunduzi[emoji38][emoji38][emoji38].

au ni copycat ya hizi tunazotumia kila siku!!!!

hongera kwa kutengeneza rifles[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwani founder ni mihadarati[emoji38][emoji38].

nashukuru umeelewa nini nilimaanisha,mwendelezo wa utengenezaji wa magari yenu.
It will take Tanzania 1000,000 years to make a functional rifle[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…