Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunataka kuona the financial statements za hizo three years. We want to see the expenditures za hizo three years, we also want to see the revenue you got within those three years.
Ww ndio mkaguzi wa hesabu za serekali??? Nikikwambia unajitia kila kitu kujua unanichukua 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe ushaiona building with fireworks maishani mwaka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] Niko sure hujaiona because they are not in Tanzania[emoji1787][emoji1787]
Yani nimecheka sana nyinyi watu ni washamba sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] muna safari ndefu sana
 
Ebu tuonyeshe mapato ya ATCL[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe ushaiona building with fireworks maishani mwaka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] Niko sure hujaiona because they are not in Tanzania[emoji1787][emoji1787]
Ww unanichukuliaje😀😀😀 hahahahahhah
 
Lakini umepima vipi ndio ukajua kuwa disadvantages za ugatuzi zimezidi advantages?
 
Ngojeni leo mkaguzi wa serekali atuambiwe ukweli manake kasema serekali inadanganya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Tukuoneshe fireworks zinasaidia nn ??? Au zinawapa chakula kibera hvi tony umekuaje ww🤣🤣🤣🤣
Kubali tu kwamba jana wakati iligonga saa sita usiku, nyinyi mlisherehekea mwaka mpya gizani huku sisi tukisherehekea na fireworks. Dar bado mpo stone age maana miji zote kubwa tajika lazima zifanye fireworks display. Yenu iko wapi?
 
Sasa utaona fireworks wapi wakati your entire life has been based in Tanzania? Safari zako outside Tanzania ni za kuja slums za Kenya, last time Christmas ilikupata Kaloleni slum in Kisumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ww ni mtoto mdogo sana kwangu tena kwa kila kitu mzee weka akilini hilo neno 😅😅
 
Sasa utaona fireworks wapi wakati your entire life has been based in Tanzania? Safari zako outside Tanzania ni za kuja slums za Kenya, last time Christmas ilikupata Kaloleni slum in Kisumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo jamaa ichoboy01 nimenotice ameumwa sana na hii mambo ya fireworks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…