President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,683
- 94,351
Mentioned by who!?Unless all these sources are lying. Show me anywhere Tanzania is mentioned above Kenya in these links:
Why milk is big business in Africa - CNN
South Africa's Western Cape is renowned for its wines and liquors. But for the country's Eastern Cape there's another drink at the top of the agenda -- milk.edition.cnn.com
Top ten milk producing countries in Africa, Kenya will surprise you - Daily Active
Kenya, Sudan and Egypt also rank among the top milk-producing countries on the continent, all contributing significantly to Africa’s 13.4 million dairy farms. But despite the impression of mass industrial-scale…dailyactive.info
Muite vyovyote lakini ni muwekezaji katoa ajira kwa watanzania thousands na analipa billions of taxes na ananunua malighafi kutoka kwa maelfu ya wakulima wa Tanzania, so?Mhindi wa Gujarat kadominate mpaka akawa dollar billionaire, ringa na vyako.
Unaulizwa hiki unajibu kile!Kwn hajui kwao, nani huyo asiyetaka kufuatilia ukoo wao..
Hyo babu yake kaja tanzania kawanyonya wajukuu sai ndio wanaendeleza[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenge huwa husikii hadi damu ikutoke.Sema tu unazuga ila huo ndio ukwel, au utuketee data lini walisitisha km huamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilete ili iweje for what reason.
Fanya hivi, niletee taarifa yoyote inayotaja Tanzania mbele ya Kenya ikija kwenye swala la uzalishaji wa maziwa. Unaweza leta hata taarifa ya TBC Kama unawezapataMentioned by who!?
Taarifa inayotaja Tanzania mbele ya Kenya!? Wewe umeleta inayotaja Kenya ipo mbele ya Tanzania!? By evidence!?Fanya hivi, niletee taarifa yoyote inayotaja Tanzania mbele ya Kenya ikija kwenye swala la uzalishaji wa maziwa. Unaweza leta hata taarifa ya TBC Kama unawezapata
Nishakupa taarifa tatu inayotaja Kenya mbele ya Tanzania, hadi ya CNN. Ama unataka taarifa Kama hizo kumi ndio uamini?Taarifa inayotaja Tanzania mbele ya Kenya!? Wewe umeleta inayotaja Kenya ipo mbele ya Tanzania!? By evidence!?
And which company produces diary owned 100% by Kenya!!?
Je, does that Kenyan company produces organic milk or chemical!?
Jibu maswali hayo tuanze.
Usiruke ruke na fake statistics kijipoza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu akirudisha change hapo mwingine anaipokea bila kujua, Atagundua ladha itakapobadilika kidogo.
Key word: RUDISHA CHANGE[emoji23]
🤣🤣🤣🤣 so kinachokuliza ni nini??Sasa pia wataka sisi tuokote habari zenu tuweke huku, munajaza server na ushuzi.
Nilishamwambia alete hata za ccm akaufyata[emoji1787][emoji1787]Fanya hivi, niletee taarifa yoyote inayotaja Tanzania mbele ya Kenya ikija kwenye swala la uzalishaji wa maziwa. Unaweza leta hata taarifa ya TBC Kama unawezapata
Kwani huoni? Ama uko na matatizo ya macho? 😂Onesha nilicho kuuliza na sio kujibu vitu ambavyo hujaulizwa.
Onesha ni sehemu gani Tanzania kuna umasikini kama wa Turkana, kibera nk!
Does CNN is a statistics organization!? Or just a propaganda for Freemasons!?Nishakupa taarifa tatu inayotaja Kenya mbele ya Tanzania, hadi ya CNN. Ama unataka taarifa Kama hizo kumi ndio uamini?
Kwn wale wazungu huaga ni raia wa nchi walioko kenyaUnaulizwa hiki unajibu kile!
Ni raia wa nchi gani?
Narudia tena.Kwani huoni? Ama uko na matatizo ya macho? [emoji23]
View attachment 1661590
Kati ya chemical na hyo organic km unavyozitaja mnazalisha litre ngapi kw mwakaTaarifa inayotaja Tanzania mbele ya Kenya!? Wewe umeleta inayotaja Kenya ipo mbele ya Tanzania!? By evidence!?
And which company produces diary owned 100% by Kenya!!?
Je, does that Kenyan company produces organic milk or chemical!?
Jibu maswali hayo tuanze.
Usiruke ruke na fake statistics kujipoza.