joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Watoto wajinga sana hawa.uzi si wa kishamba, ni watoto wametake over
In terms of corruption or tribalismJust to remind you Brookside is the largest milk company in this region



Tunaban vitu venye tishio kwetu sio huo uchafu wenu, in short hamna chakubaniwa.Hamuwezi gusa bidhaa zetu, mnatuogopa sana,![]()
Kenya huwa haicheki likija kwenye swala la maziwa.Hamuwezi gusa bidhaa zetu, mnatuogopa sana,![]()
Huyu Amam Muarabu anawacontrol sana nyie Malazy.Azam Milk.
Tanzania ya moto sana
View attachment 1661323View attachment 1661324View attachment 1661325View attachment 1661326
Ghana haina pumzi kwa Dar hata kidogo...labda kwa kuwa na four ties interchangeSiyo kila siku Tz vs Kenya ,
Dar es salaam vs Accra
Halafu nyinyi mumeanza kuprocess haya mambo juzi tu. In the 1980s and 1990s mlikuwa mnaimport hadi tooth paste na sabuni kutoka Kenya. Hamkuwa na industries za maana. Sasa hivi ndio mumeanza kumanufacture products halafu unaanza kuturingia ilhali Kenya imekuwa ikimanufacture hizi products kutoka zamani na kuwauzia nyie malazy.Tanga Fresh
Moto ni moto hauzimiki
View attachment 1661332View attachment 1661333View attachment 1661334View attachment 1661335View attachment 1661336
We have modern factories. Nyie endeleeni na viwanda mlivyoachiwa na wakoloni. Viwanda vyenu mikweche.Halafu nyinyi mumeanza kuprocess haya mambo juzi tu. In the 1980s and 1990s mlikuwa mnaimport hadi tooth paste na sabuni kutoka Kenya. Hamkuwa na industries za maana. Sasa hivi ndio mumeanza kumanufacture products halafu unaanza kuturingia ilhali Kenya imekuwa ikimanufacture hizi products kutoka zamani na kuwauzia nyie malazy.
badala ya kutuzodoa unatakiwa ulie kwa nguvu na kusikitikaHalafu nyinyi mumeanza kuprocess haya mambo juzi tu. In the 1980s and 1990s mlikuwa mnaimport hadi tooth paste na sabuni kutoka Kenya. Hamkuwa na industries za maana. Sasa hivi ndio mumeanza kumanufacture products halafu unaanza kuturingia ilhali Kenya imekuwa ikimanufacture hizi products kutoka zamani na kuwauzia nyie malazy.


maana ni pigo kwa viwanda vya kenya.huyo ni mpemba kama ichoboyHuyu Amam Muarabu anawacontrol sana nyie Malazy.

.
.Lakini mbona huyo mshamba Venus Star anaturingia processed products ilhali Kenya imekuwa ikiprocess products kutoka zamani? Huu ni ushamba wa aina gani? Si afadhali hata aende aringie Burundi, Somalia na South Sudan ambao hawana manufacturing industries. Sisi utaturingiaje bidhaa ambazo tumekuwa tukiprocess kutoka zamani na hata kuwauzia wakati hata hamkuwa na uwezo wa kuzimanufacture. Ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata.badala ya kutuzodoa unatakiwa ulie kwa nguvu na kusikitikamaana ni pigo kwa viwanda vya kenya.
Siyo kila siku Tz vs Kenya ,
Dar es salaam vs Accra
Umesoma title ya thread!? Kama unaviwanda hivyo ingia kwenye battle.Lakini mbona huyo mshamba Venus Star anaturinngia processed products ilhali Kenya imekuwa ikiprocess products kutoka zamani? Huu ni ushamba wa aina gani? Si afadhali hata aende aringie Burundi, Somalia na South Sudan ambao hawana manufacturing industries. Sisi utaturingiaje bidhaa ambazo tumekuwa tukiprocess kutoka zamani na hata kuwauzia wakati hata hamkuwa na uwezo wa kuzimanufacture. Ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata.
Producing soy milk (chemicals)Kenya is still the largest milk producer in east Africa even Africa I think Kenya is number one
lengo sio wewe uone vitu vigeni hapana,ni uone ni kwa namna gani sasa tz inachanuka na kuanza kukata kamba za utegemezi.Lakini mbona huyo mshamba Venus Star anaturinngia processed products ilhali Kenya imekuwa ikiprocess products kutoka zamani? Huu ni ushamba wa aina gani? Si afadhali hata aende aringie Burundi, Somalia na South Sudan ambao hawana manufacturing industries. Sisi utaturingiaje bidhaa ambazo tumekuwa tukiprocess kutoka zamani na hata kuwauzia wakati hata hamkuwa na uwezo wa kuzimanufacture. Ama kweli maskini akipata matako hulia mbwata.