Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rock city mall before pedestrian bridge....mwanza
14264062_992467147528969_2764993776370751408_n_zpsndcxq6ke.jpg
 
hatukakatai,nairobi kuna raha sana but raha za dar es salaam hazina mpinzani EA.kuanzia warembo,vyakula na mziki mzuri.

imagine even some of your underrated music artist like this very talented guy called anto neosoul admirers dar so much.
aa36657ba84ecada2a4ce02db5e58629.jpg
c5f651b7d61a01ea9a4f042e0d94c719.jpg
81e335c60c39ba2b264a26abf90f9783.jpg

Mombasa raha. Thats the Capital city of fun in Eastern Africa........
 
nimefika mombasa three times.
ukweli ni kwamba mombasa inawapa raha zaidi watu wanao practice same sex relationship.

hii imekuja kwasababu gays ni wengi sana mombasa kuliko mji wowote EA,sijajua sababu hasa ni nini.

wengine wanasema chanzo ni cultural interaction between swahili and arabs pia wanasema cultural interaction between swahili and some italian settlers in the coast.
 
Sodoma
 
Haters gonna hate. ......Mombasa anyday. I am planning on going there in mid July.
 
Back
Top Bottom