moxec
Senior Member
- Sep 22, 2016
- 191
- 205
Unachekesha ww unataka kuzifananisha Simba na Yanga na timu zenu. Ligi yetu inaushindani alafu inawalipa vizuri wachezaji wake East Africa.Tanzania wako na football stadium sawa lakini sikumbuki kama wamewahi enda African cup of nations........hahaha. hoihoi wa kutupwa....
Yanga na simba hata top 4 kenya haziingii
..unahakika hatujawai kwenda CAF au unajisemea tu