Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.Regional commissioner mkuu
We ndyo huelewi,,hii port iko phases kadhaa,ya kwanza inakamilika 2021 na ya mwisho 2030 so itakuwa completed yote after 10 yrsSasa mbona unajichanganya na mwenzako!? Yeye anasema 2021. We we unasema after 10 years. Ndio maana nimewaambia kaeni kimya mkimaliza ndio mje tuongee.
kama kununua cheni za sonko[emoji38][emoji38].Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
Utamaduni huo wakuandika magari yetu serekeli nyadhifa zao kw plates hatuna sisi huku..Unamuita ng’ombe huyu [emoji116][emoji116][emoji116]
Regional commissionerView attachment 1660769View attachment 1660770View attachment 1660771View attachment 1660772View attachment 1660773
Mbona hungesema Regional commisioner. Ama unadhani kila mtu ni Mbongo?Unamuita ng’ombe huyu 👇👇👇
Regional commissionerView attachment 1660769View attachment 1660770View attachment 1660771View attachment 1660772View attachment 1660773
Gavana sio mkuu wa majimbo jomba uliza kwanza, wabunge ndio wakuu wa majimbogovernor ni mkuu wa jimbo.huku majimbo wamepewa wabunge.
RC na CC kuparuana ni sehemu tu ya ubinaadamu,kama ruto na uhuru wanaparuana hadharani sembuse hao!!
sijui kwenu mna majimbo mangapi,ila huku yapo zaidi ya zaidi ya 250.ila mikoa ni 32 tu.
Mi hta nashagaa walai, tena kisha plates lazima waeke RC kili[emoji1787][emoji1787]Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
governor ni nani huko kenya???Gavana sio mkuu wa majimbo jomba uliza kwanza, wabunge ndio wakuu wa majimbo
Punguzeni maringo. Sasa Infiniti, Range rover na Toyota Prado, gari zote tatu kwa binadamu mmoja? Serikali yenu mbona inapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama hii badala ya kuivest kwenye maslahi ya wananchi wa kawaida. Hii ni tabia ya capitalist countries sio socialist countries kama yenu. Mumeanza kufuata tabia za Nigeria na Kenya.mkuu wa mkoa by the way hata cdf anatumia iyo Nissan sio ata ishu
Sonko ananunua cheni kwa pesa zake. Makonda anaringa kwa pesa za serikali. Kuna tofauti hapokama kununua cheni za sonko[emoji38][emoji38].
mimi sina uhakika,sijui wewe una uhakika gani sonko anafanya huo ufahari kwa pesa yake mfukoni!!!!Sonko ananunua cheni kwa pesa zake. Makonda anaringa kwa pesa za serikali. Kuna tofauti hapo
Umeanza kulia sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ooh Haha. Mbona anaendesha magari makubwa kama infiniti. Yaani serikali yao inapoteza pesa kwa upuzi kama huo ilhali Wabongo wenyewe ni masikini wa kutupwa. Serikali yao inapaswa kutumia pesa vizuri.
Kwani hio wametumia nn hapo huoni imeandikwa RC dsm au hujaelewaUtamaduni huo wakuandika magari yetu serekeli nyadhifa zao kw plates hatuna sisi huku..
Wanaotumia nembo za nyadhifa zao kw plates (GVN)
Tena ni vile magari ya county hayapo under serekali kuu ndio manake, lkn sisi huku utaratibu wetu ni GK au plates za Rangi ya blue kw wizara pia vile vile plates za blue sio kwa gari zote
Hvi kuna nchi inathamini wananchi wake kama tanzania hvi unajua tanzania ndio inaongoza africa kua na inclusive economy au hujui maana yake ??🤣🤣🤣Punguzeni maringo. Sasa Infiniti, Range rover na Toyota Prado, gari zote tatu kwa binadamu mmoja? Serikali yenu mbona inapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama hii badala ya kuivest kwenye maslahi ya wananchi wa kawaida. Hii ni tabia ya capitalist countries sio socialist countries kama yenu. Mumeanza kufuata tabia za Nigeria na Kenya.
Gari za kifakhari ni kitu cha kawaida sana ikiwa mkurugenzi wa jiji anatumia v8 unshangaa nn nyie kwenu mbunge anatumia prado 🤣🤣🤣Punguzeni maringo. Sasa Infiniti, Range rover na Toyota Prado, gari zote tatu kwa binadamu mmoja? Serikali yenu mbona inapoteza pesa kwa mambo ya kipuuzi kama hii badala ya kuivest kwenye maslahi ya wananchi wa kawaida. Hii ni tabia ya capitalist countries sio socialist countries kama yenu. Mumeanza kufuata tabia za Nigeria na Kenya.
Na kwann kaondolewa kwenye madaraka??? Jibu rahisi ni ufisadi au sioSonko ananunua cheni kwa pesa zake. Makonda anaringa kwa pesa za serikali. Kuna tofauti hapo
Alianza kuvaa macheni za dhahabu hata kabla ya kujiunga na siasa. Jamaa alikuwa na pesa hata kabla ya kuwa mwanasiasa. Neno "Sonko" ni neno la sheng (lugha ya vijana) na lina maana ya "Tajiri", "Bwenyenye"mimi sina uhakika,sijui wewe una uhakika gani sonko anafanya huo ufahari kwa pesa yake mfukoni!!!!
yule ni fisadi kabla ya siasa alikua muuza madawa ya kulevya na hio ndio kazi iliomtajirisha acheni kufaria mafisadi juzi katolewa kwenye uongozi kisa ufisadiAlianza kuvaa macheni za dhahabu hata kabla ya kujiunga na siasa. Jamaa alikuwa na pesa hata kabla ya kuwa mwanasiasa. Neno "Sonko" ni neno la sheng na lina maana ya "Tajiri", "Bwenyenye"