Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu ni utopolo huu jameni hebu oneni hii kitu mkenya anapost humu zen anaita ni warehouse [emoji2][emoji2][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Wewe kama simu yako haiwezi kuzoom wacha kupigia watu makelele. Watu ambao wanaweza kuzoom wamezoom na wamekagua mali.
 
mwambie huyo ni mkubwa kuliko sonko minyororo.

kuna clip nimeona anamtukana mtu,matako wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787],yaani kenya jaman,[emoji23][emoji23]
Gvana ni mtu mkubwa sana mkuu, RC na CC lazima waelewane kufanya kazi nae kila mtu anajiona yeye ndio mbabe..
Ila mi bado nasema RC na CC kw gavana bado sana tukija ki siasa
 
Gvana ni mtu mkubwa sana mkuu, RC na CC lazima waelewane kufanya kazi nae kila mtu anajiona yeye ndio mbabe..
Ila mi bado nasema RC na CC kw gavana bado sana tukija ki siasa
governor ni mkuu wa jimbo.huku majimbo wamepewa wabunge.

RC na CC kuparuana ni sehemu tu ya ubinaadamu,kama ruto na uhuru wanaparuana hadharani sembuse hao!!

sijui kwenu mna majimbo mangapi,ila huku yapo zaidi ya zaidi ya 250.ila mikoa ni 32 tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…