Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
Hakuna nchi maafisa wa serekali wanatumia magari ya kifahari kama tanzani na kama kuna mtu anabisha aseme hapa niende nae sawa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Endelea kujifurahisha na official cars 100 za magu
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Hakuna nchi maafisa wa serekali wanatumia magari ya kifahari kama tanzani na kama kuna mtu anabisha aseme hapa niende nae sawa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Soma hapa tony, nakusaidia kuona kilichoandikwa hata kama ume block utaona utake usitake [emoji116][emoji116][emoji2][emoji2][emoji375][emoji375][emoji375][emoji373][emoji2923]
Basi muambie huyo mwenzako ajifunze kuongea kiungwana kama Wabongo wenzake. Nyie Wabongo mna sifa nzuri ya kuwa na heshima na upole. Akibadilika nitam unblock.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…