Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Capripoint road in mwanza
1.mwanza aka rock city 3.jpg
 
Racecourse Tz bado ni ndoto...wanajivunia stady ya 2007 na ni same na kasarani ya 1987....sioni differences kwa hizo ma stady
Usifananishe uchafu wa Nairobi na hi kitu ya DSM apa , kuna vitu vya kujipa Moyo kama kuishi kwenye dormitory na kujifariji kuziita apartment lakini kwenye viwanja usijifariji kabisa East and central afrika hakuna kama iki hii ni international standard apa tuna host mpaka team za EPL
National-Stadium-Tanzania.jpg
 
Usifananishe uchafu wa Nairobi na hi kitu ya DSM apa , kuna vitu vya kujipa Moyo kama kuishi kwenye dormitory na kujifariji kuziita apartment lakini kwenye viwanja usijifariji kabisa East and central afrika hakuna kama iki hii ni international standard apa tuna host mpaka team za EPLView attachment 531297
Meambie tume host hadi timu YA Dunia Brazil
 
Usifananishe uchafu wa Nairobi na hi kitu ya DSM apa , kuna vitu vya kujipa Moyo kama kuishi kwenye dormitory na kujifariji kuziita apartment lakini kwenye viwanja usijifariji kabisa East and central afrika hakuna kama iki hii ni international standard apa tuna host mpaka team za EPLView attachment 531297
Hajiulizi kwann everton wameletwa tanzania
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Unajua racecourse ni nini

Sasa huo ni mchezo wenu ???...si mmerithishwa na wazungu ..hyo ni influence ya wazungu kukaa (settler economy) kenya ..which ..haikuwepo Tz ..ndo maana unaona hatuna michezo kama rugby au horse racing ..sasa race course ya nini ..hii settler economy imewafanya hadi muanze western style ya kushop kwenye malls ...while sisi we do it in our own style ..ndo maana most people prefer shopping at Kariakoo ...and mimi naona its so fine ..to have and maintain your african culture .rather than ku adapt za wazungu
 
Football si ilianzishwa na wazungu pia...kama hamna usitafute excuse ovyo
 
Sasa huo ni mchezo wenu ???...si mmerithishwa na wazungu ..hyo ni influence ya wazungu kukaa (settler economy) kenya ..which ..haikuwepo Tz ..ndo maana unaona hatuna michezo kama rugby au horse racing ..sasa race course ya nini ..hii settler economy imewafanya hadi muanze western style ya kushop kwenye malls ...while sisi we do it in our own style ..ndo maana most people prefer shopping at Kariakoo ...and mimi naona its so fine ..to have and maintain your african culture .rather than ku adapt za wazungu

Tanzania wako na football stadium sawa lakini sikumbuki kama wamewahi enda African cup of nations........hahaha. hoihoi wa kutupwa....

Yanga na simba hata top 4 kenya haziingii
 
Uwezo ni pale ambapo tungekuwa na rugby national team..na mmngekua mnatufunga ..sasa sisi rugby sio mchezo wetu ..na sio lazima uwe mchezo wetu

tuambie mchezo moja yenye mnawika nayo Afrika ama duniani.. .......
 
Back
Top Bottom