Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie msipoimarisha national carrier yenu hamtawahi kufikia JKIA in terms of pax. Yaani itabidi muanze kusafiri hadi London na USA ndio mtufikie. Lakini kwa sasa lipeni mkulima kwanza ili awafungulie route ya SA kisha mje Kenya kisha muende Nigeria kisha muende nchi za ulaya. Mna safari ndefu sana kabla Airport zenu hazijapata abiria wa kutosha kucompete na JKIA.
 
Unailinganisha KQ yenye 27/30 of her fleets loaned while debt servicing already defaulted na Air Tanzania with 100% of her 11 aircraft fully paid n has just placed orders for 2 B787 n one cargo jet to be fully paid!

Now KQ's main partner KLM is already preying on KQ dominance in zanzibar's market! Now western tourists fly direct to the Archipelago n avoid JKIA!
 
Kwaiyo ukiambiwa taja mkoa uli katikati kenya utasema nirobary[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]..acha bangi
 
Wewe unaongea kuhusu mambo ya ownership ya ndege mimi naongea kuhusu passenger numbers. KQ inaleta abiria wengi JKIA. Mtu yeyote anayepanda KQ na anaconnect flight lazima ashukie JKIA ili afanye connection to the next flight. Atcl ina mipango gani ya kufanya Dar airport iwe transportation hub ambapo abiria watakuwa wanafanya connection of flights kama inavyofanyika JKIA na Bole? Sawa mnamiliki 100% ya ndege zenu ila mkulima amezizuia kuruka angani. Sasa ina faida gani kumiliki 100% kama huwezi kuzitumia?
 
rudi na hapa mzee wa ikuluView attachment 1660163View attachment 1660162
 
Mbona malazy mlichukua miaka 30 kuhama kutoka Dar hadi Dodoma? Kitu gani kiliwachelewesha?
maamuzi tu,,dodoma haijachukua miaka 30 ,ila tulikuwa tunahama taratibu tulikuwa tunatanguliza mambo muhimu mdogo mdogo ndiyo maana tulishalitangulizs bunge tokea enzi za mwalimu nyerere....

hata ujenzi wa nyumba huanza na msingi kwanza huwa haishuki kimiujiza
 
The following map illustrates the Top 10 and Bottom 10 food secure performers in the Africa Country Benchmark Report (ACBR).


Angalia hio map vizuri....the problem is that you guyz have been made to believe that TZ is the land of milk and honey. TZ is overrated when it comes to Agriculture!!!
 
duuuh!!!¡

ulichokisema unauhakika nacho....?

naomba unisaidie ushahidi kidogo nijifunze kuwa capital city ilikuwa mombasa ikahamia nairobi
 
Statistics tena. Anayetengeneza hizo statistics amekaa London kwenye kiyoyozi
 
Hebu tuoneshe hayo mashamba ya chakula. Tuwekee picha kama hizi
Banana production in Tanzania.
 
Lini umesikia Tz kuna njaa, lini umesikia kuna msaada wa chakula huku, hyo map isikutishe ni kwa sababu vyakula vingi vilikuwa vinaondoka kinyemela nchini pasipo kuwa counted na mamlaka husika.

Ndo mana ilikuwa rahisi kusikia Kenya ndo inaongoza kulima avocado wkt yanatoka Tz, but kwa ss tupo makini chini ya jemedari Magu so tegemea statistics zote kurekebishwa na utaona matokeo yake soon.
 
taratibu wataelewa tu kwa sasa wacha warelax hii meza inakwenda kupinduka halafu wakae wakijua kuwa Tz hatutegemei airport moja kama jinsi ilivyo kwao kila kitu nsirobi
 
unataka kuukwepa uhalisia umetoa wapi huo uchafu....

wakenya huwa mnakimbilia vilink hata visivyokuwa na faida,wakati hali halisi ya huu ukanda na africa kwa ujumla kwa upande wa chakula inajulikana......


endeleeni kuokota okota link wazee wa ranking[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…