Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Point of correction miaka zaidi ya 57!Si bora sisi tumechukua miaka 30 kuhamia makao makuu inamaanisha ahadi tunatimiza lkn nyinyi imewachukua takribani miaka 37 mpk leo bado mnatumia jengo la mkoloni km ikulu ya nchi alaf mnasema mnataka maendeleo, maendeleo gn wakati hao mnaotegemea wakupeni maendeleo wanajua siri zenu za ndani zote.
Wewe hata saa hii nikikuambia uchanganye pax za airport zenu zote bado hazitafikia pax ya JKIA.AAKIA na KIA r beating Mombasa airport by far on PAX! Mwanza airport is doing the same on PAX when compared to Kisumu airport! Sasa sijui unabisha nini! Wacha ufala asubuhi hii! Hapo Arusha na Dodoma airports hazijatajwa!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji115][emoji115]Point of correction miaka zaidi ya 57!
Tatizo lako unapenda sana kuongelea vitu ambavyo havina maana.Lilikuwa ni swali innocent tu. Sikuwa natania. Lakini naona mnapata hisia sana kwani hampendi kuzungumzia jambo hili? I wonder why?
wepi hao nchi ya wapanda punda?
Tanzania na Nigeria zimehamisha capital city kutoka ufuoni mwa bahari hadi kati kati mwa nchi. Sisi hio tulishafanya zamani. Mabeberu walishahamisha capital city kutoka Mombasa hadi Nairobi hata kabla ya mwaka wa 1920. Nairobi iko katikati mwa Kenya kwa hivyo hakuna haja ya kuhama.Vita ya Uganda did disruption but JPM is doing sth Kenya can never even dream about!
Nyie endeleeni kupanda chakula sisi tutanunua.Rice production in Tanzania.
Kenya vipi mnalima kweli!?
View attachment 1660071View attachment 1660072View attachment 1660073View attachment 1660074
Ndio kuwatawala hivyo. Kama hujajitawala ki chakula utatawaliwa tu. Ndio maana hamuwezi kujisimamia maana hamna chakula. Mkipigwa sanction kidogo tu lazima mpanue miguu.Nyie endeleeni kupanda chakula sisi tutanunua.
Hamna nchi inayoitwa kunyaland. Pengine hio ni nchi uliojitungia wakati ulikuwa unakunya.Utamu wa Tanzania. Tuoneshe vitu kama hivi toka kunyalandView attachment 1660064View attachment 1660065View attachment 1660066View attachment 1660067
Kenya tunaiita Kunyaland kwasababu hawanavyoo wana kunya kunya ovyo kwenye flying toiletsHamna nchi inayoitwa kunyaland. Pengine hio ni nchi uliojitungia wakati ulikuwa unakunya.
Wewe hata saa hii nikikuambia uchanganye pax za airport zenu zote bado hazitafikia pax ya JKIA.
Tanzania na Nigeria zimehamisha capital city kutoka ufuoni mwa bahari hadi kati kati mwa nchi. Sisi hio tulishafanya zamani. Mabeberu walishahamisha capital city kutoka Mombasa hadi Nairobi hata kabla ya mwaka wa 1920. Nairobi iko katikati mwa Kenya kwa hivyo hakuna haja ya kuhama.