Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.That's for you to figure... But We love each other.. wamewazidi based on what!?
Maana Nigeria na nyie mnafanana kama mayai... Its everybody for him/herself. If making money is by selling your young brother you will do it..
I guess that sums it all up!
Year 2021 is around the corner badilika wacha kulilia achievements za wanaume utapakatwa!Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.
Tuna start-ups nyingi. Sina moja ambayo naweza kukupa ambayo ina founder mmoja. Nyingi zina founders wawili au zaidi. Lakini hata kwenye kuraise money from investors, start-ups zetu zinaraise pesa nyingi sana hapa Afrikaowned by several people behind nataka start up kama ya Kopagas!
There are limits you don't cross... Like selling yourself for money... Ila nyie capitalists wa kuchovya hamjui hilo .. isn't it!?Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.
Hakuna nchi yoyote socialist ambayo ni first world. Nchi zote first world ni capitalist. Hio ndio maana hata nyinyi mliamua kuacha socialism na kukimbilia capitalism.There are limits you don't cross... Like selling yourself for money... Ila nyie capitalists wa kuchovya hamjui hilo .. isn't it!?
Unazungumzia Nairobi ama?!!!!Ukute ushaenda kwenye kile kilima chenu cha network,ama uko juu ya mti mida hii.Kenya sio shit-hole kama Tanzania. Likija kwenye suali la mobile teleconnectivity Kenya tuko mbele ya nchi zote Africa Mashariki. Tuna smart phones nyingi per capita. Tuna internet subscribers wengi per capita. Tuna mobile money users wengi per capita. Yaani wacha tu. Dunia nzima inajua kwamba Mobile money ilianzia Kenya. Tanzania bado haijulikani kwa jambo lolote linalohusu technology.
Labda ndiyo sababu pia mmeishia kufuga Boko Haram na Al Shabaab mtangamano. Tatizo kubwa la capitalism ni kulea sense fulani ya utegemezi. Hivyo hata Nigeria kwa mfano; Wakati ule Boko Haram wanachipua kama kikundi cha uhalifu, serikali ilikuwa ikiona haya kuwachukulia hatua "za kinidhamu" pengine kwa kuhofia kuwaudhi mabwana wakubwa ambao ni watetezi wakubwa wa "haki za kiraia".Sisi capitalists Nigeria na Kenya tunakimbiza opportunity mahali popote ilipo. Nyie socialists on the other hand mnakaa juu ya mawe na kupiga soga bila kufanya kazi na kutaka kupata success kama sisi.
Na hakuna nchi zimekua successful kwenye ulinzi na utu kama socialist countries hilo unalijua nafkiri ndio maana leo mkiambiwa muowane wanaume kwa wanaume munakua wakali kwann sasa na nyinyi capitalist🤣🤣Hakuna nchi yoyote socialist ambayo ni first world. Nchi zote first world ni capitalist. Hio ndio maana hata nyinyi mliamua kuacha socialism na kukimbilia capitalism.
Moderated..Hakuna nchi yoyote socialist ambayo ni first world. Nchi zote first world ni capitalist. Hio ndio maana hata nyinyi mliamua kuacha socialism na kukimbilia capitalism.
Hapo ndipo mna fail ukizungumzia kitu lazima uwe na uhakika nacho kuna vitu vipo kwa ground Mimi Nairobi nimekaa Sana bro kwa hiyo siwezi Nika wasingizia tatizo nyie mnapenda kukuza mambo Sana 🙂Sio mashinani tu bali hata Dar nimeona hakuna apartments. Nyie ni bure kabisa. Mnatuaibisha sisi wana Afrika Mashariki.
Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.Unazungumzia Nairobi ama?!!!!Ukute ushaenda kwenye kile kilima chenu cha network,ama uko juu ya mti mida hii.
Tafuta Huko Twita 🙂Wanaingia leo kwenye gas wakat tanzania ina zaidi ya miaka 3 kwenye swala hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakenya wanapenda sifa🙂Nimesema Kenya wa kwanza Africa as a pilot project na kwa hisani ya Vodafone! Hivi kuwa wa kwanza imewasaidia nini wakati kuna msela mbongo kapokea $25mln na anakula royalties za Pay As You Go(PAYG) kama inventor wa technology inayotumika na Circle Gas huko UK!
And here comes Tanzania’s newest billionaire
At 35 years, Andron Mendes has become Tanzania’s latest billionaire with a big dream to change the lives of millions of people in Africa.www.thecitizen.co.tz
Muacha upumbavu wa kudai mligundua Mpesa, Mr Mendes from Tanzania is globally recognized inventor of PAYG system for Kopagas and he is quiet and none of Tanzanians here brag!
Hahaha eti festi isti endi sentro Afrika. Duh mna vituko.Tafuta Huko Twita 🙂
Hahahaha... "Festi Isti endi Sentro Afrika" inakuja soon
Wakati NIT wanacheza na hiyo kitu for God knows how long!
Kwani tonny hahahahaHahaha eti festi isti endi sentro Afrika. Duh mna vituko.
Umetumia nguvu nyingi sana easy,relax 😆😆,Safari hii hujaenda ushagoo?!!Mimi sina matatizo ya communication kama wewe. Mimi sio wa kuchezea hata kidogo. Mimi sio wale masikini wa Tandale unapoishi wewe. Mimi nina smart-phone ya 4G na pia nina Wi-fi kwa nyumba yangu.
Wacha nikupe evidence
View attachment 1659396
Kama uonavyo hapo juu kwa screen shot ya simu yangu, on the right side inasoma 4G. Na inasoma time ni 12:04.
Halafu muda huo huo nikazima 4G na kuwasha Wi-fi. Hebu tazama hapa chini kwenye screen yangu upande wa kulia utaona symbol ya wifi kumaanisha kwamba nimewasha wi-fi muda huo huo wa 12:04.
View attachment 1659399
Wi-fi yangu natumia kampuni ya internet provider inayoitwa liquid telecom na telecommunication provider wa 4G natumia Safaricom. Sasa endelea kusema kwamba niko juu ya mti nikitafuta network. Sio kila Mkenya wa kuchezea