Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwaka wa pili? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Is that how you console yourselves? Bongolala, hii ni ripoti ya October mwaka huu(2020). Mtatafuta pa kutokea ila hamtapata
This is the link
hamna ishu hapo
 
huyo afande ni balsa ana speed zaidi ya chita kwa mujibu wa data base ya KDF jeshi bora duniani
 
Uchumi na watoto homeless wapi na wapi jomba, mbna unajito ufahamu kihivi leo yani mpka nashuku uwezo wako wa kungamua vitu walai
 
Naona uneanza kukimbilia kw foreigners, tuonyeshe hao foreigners ambao wanamiliki hata robo ya uchumi wetu
 
hao watz mnaowasema kila siku fukuzeni wote wote maana huku kwao mbona hayo maisha hayapo....

muache propaganda,,hayo ni maisha ya kenya na hao ni wakenyabwenzenu usitake kuwakataa kwa kuwatengenezea tabaka ,,hao wote ni wakenya
Watz kw streets wa tele, hilo ukitaka pinga mpka kiama lkn wala haitobadilisha chochote kile mitaani..

Karibia kila siku marikiti tunakutana nao wakiwa stranded hawana pa kwenda
 
Mwaka wa pili? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Is that how you console yourselves? Bongolala, hii ni ripoti ya October mwaka huu(2020). Mtatafuta pa kutokea ila hamtapata
This is the link
The only reason, we are together on that list is because of using usd as a standard but for sure you know your money is trush as far as ppp is concern, when compare our poorest person against yours ,ours is ten times better
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…