Umeumia eeee[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hayo wasema wewe. Huijui hali yangu ya maisha!
Heheh!!ushaanza kujitoa ufahamu sasa, mlifanya mistake sana kuingilia ishu za diaspora..kuendesha tu,,,,,,ni simple deal.......
ni udereva tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WB ndio haoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]Mafukara nyie hamna jipya...endelen kushangilia floating bridge ya kikunya, wakati shule ndio hizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1657625View attachment 1657626
Hapo hmna kitu[emoji1787][emoji1787]usituguse kabisa.....
mnajifanya wajuaji kumbe zerooo kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 1657623View attachment 1657624
Asante sana mkuu, ngoja tumtumikie bwana, siku zenyewe zimebaki chache sana.hongera sana comrad
Kawaida ya mibongolala wakishakosa hoja. Huenda wewe ni moja wa hao 28 million extremely poor souls in 😂 Jikakamue utoke hapaSio kazi yangu kukulisha kila kitu kamulize uruto atakwambia
Zaidi ya ukabila, rushwa na wizi, hamna kitu mnachojua ninyi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmeshangaa vile mnajua mawaziri wetu,mi hata mmoja kutoka Tz simjui[emoji1787][emoji1787][emoji122]
Hahaa!!baba mwenyekiti[emoji1787][emoji1787]Asante sana mkuu, ngoja tumtumikie bwana, siku zenyewe zimebaki chache sana.
Magufuli akimaliza muda wako tutarudi mkuu, kwasasa mjini sio sehemu ya kila mtu.[emoji23][emoji23][emoji23]Aha haaa
Hongera sana.
Kwa hiyo umeachana kabisa na mambo ya kuishi mjini?
[emoji1787][emoji3][emoji38]
Hao wakenya huko USA wanamiliki kampuni la usafirishaji mizigo, lenye idadi ya hayo malori, sio kampuni la kutengeneza magari, huyo ni zuzu achana naye.kuna huyo komora ameleta youtube link hapa anajidanganya eti kuna wakenya wapo U.S.A wanamiliki kampuni ya truck cars,,,,
nimemuambia kuwa alete jina la kampuni pia alete jina la aina ya hizo gari wanazozalisha...
soon ataescape,,,ngoja tuone mwisho wake[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
LOL kumbe ni just forwarders
Sa mbona hayo mambo ya kawaida sana kwa Tanzania diaspora [emoji28][emoji28][emoji28]
Serengeti freight inayomilikiwa na mtanzania ni kubwa kuliko hicho kituko cha Kenya komora096
View attachment 1657605View attachment 1657606
Member wa JF longtime sana 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa alievaa koti la draft kushoto namfaham.. anaitwa Chris Lukosi yuko UK nae kaanzisha kampuni yake ya forwarders inaitwa KC.. ofisi zake kwa Dar zipo kule Mikocheni
View attachment 1657662
so kama ni “hivyo” sisi tumewapiga bao zaid
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo jamaa alievaa koti la draft kushoto namfaham.. anaitwa Chris Lukosi yuko UK nae kaanzisha kampuni yake ya forwarders inaitwa KC.. ofisi zake kwa Dar zipo kule Mikocheni
View attachment 1657662
so kama ni “hivyo” sisi tumewapiga bao zaid
Fala yule demu eti "mkenya anamiliki kampuni ya kutengeneza magari America" (huku anabana pua) labda hizi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]kuna mmoja anajidanganya hapa kaleta kampuni ya truck ipo huko marekani anadai kuwa kuna wakenya huko U.S.A wanamiliki ndiyo namuambia hapa alete jina ya hiyo kampuni pia na jina la gari wanazozalisha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nimecheka sana yaani ukitaka kumuenjoy mkenya ingia kwenye kipengele cha comparison lazima naye aje kujitutumua hata kwa uwongo ili mladi ajifurahishe...
Member wa JF longtime sana [emoji28][emoji28]
Wakongwe wa JF tunamjua, zamani alikua active sana humukumbe yupo.. nilikuwa sijui ase
View attachment 1657667
Basi watajisifu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1657428
Nyani zitabisha hapo sio Tz [emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205]kama mbele....View attachment 1657470
Hii uliipiga ww mkuu.My Photo[emoji7][emoji41]