Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe sisi huwa tunaamini kama ujinga wako una afadhali kidogo,lakini hapa unathibitsha nawewe ni wale wale,kiazi wahed.

kwani za chini zinaitwaje!!!hii case ikiwa upande wenutatafuta maelezo yote kujazia kama kule kwenye floating bridge.
[emoji116][emoji116][emoji116]unaweza hesabu ukitaka
 
Huwa wanaikataa hii defn, wanakuambia hapo wanamaanisha rural-urban movt
Hahahaha wakasome maana ya urbanization
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
urbanization
/əːb(Ι™)nʌΙͺˈzeΙͺΚƒ(Ι™)n/

noun

the process of making an area more urban.

Making sio moving, hawa watu elimu yao ni takataka kabisa, haya mambo Tanzania wanafundishwa form 2 kwenye Geography πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…