Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hivi mnakwama wap mbona hamna jengo mnajenga likazidi haya ya Dar kwa utamu? View attachment 1654623
Kuna tofauti kweli
images%20(4).jpeg
 
Kwahyo kwa sasa mnatumia panton kuvuka Au. ..na iweje mnayajenga yote at once
Tunajenga yote kwa Sasa kwasababu tuna president anayefikiria kimaendeleo,tena Mombasa was neglected since independence,,Sasa Ni wakati wao
 
okey ,Tz kwa madaraja tuko league yetu hamtuwezi
 
wewe mbuzi usihesabu hizo shells utapotea.

ukitaka kujua umefeli angali uwiano wa floor tano za chini na hizo za juu.
Naomba niwe mkweli japo ni aibu kukaa kuhesabu lakini nimehesabu hata mara kumi mpka na ground naishia 27 kwa 28.

Kwani nyie mnahesabu kitu gani mpka zinafika hata 29 tu?
 
huyo jamaa analeta utapeli wa kitoto.
 
Naomba niwe mkweli japo ni aibu kukaa kuhesabu lakini nimehesabu hata mara kumi mpka na ground naishia 27 kwa 28.

Kwani nyie mnahesabu kitu gani mpka zinafika hata 29 tu?
Haya sasa add 3 floors zenye ziko kwa hiyo part ya yellow.
 
naomba uzoom utuonyeshe hizo floors 3 hapo juu,na maelezo zimekaa kwa namna ipi.

maama hiyo sehem upande mmoja ni fupi mwingine ni ndefu.
 
Back
Top Bottom