Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dizzim
20201217_082805.jpg
 
First hamjawahi kufika 8mil passnger

Second, kama nyumba iko overcrowded that doesnt mean ndio kubwa.

Our airport is biggest in east africa hata kama inaserve less than jkia lakini bado nikubwa kuliko yenu.

Hii ni sawa na kusema nyinyi mnachumba kimoja wanaishi watu 10.

Sisi tuna nyumba ya vyumba 10 wanaishi watu 4 so kila mtu anachumba chake na exta rooms zinabaki.
In case you didn't know that JKIA handled 8.3 million passengers[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
tapatalk_1608369008074.jpeg
 
Gor Mahia can't and can never beat Simba in a serious Match. Mark my word. We normally try our players from team C in ndondo tournaments..
Yanga as well. Labda tukutane CAF championship ndio utajua the true Simba.
Serious match kwn nyie ndio ilkua hamtaki kucheza na everton, rooney mlifanya kumuonea uwanjani tu

Gor anawadanda anytime wanapojiskia wanmdanda simba[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna cha team c wala nini, na ukibisha snaa nakuumbua tena sio kitambo..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yaani nikiangaliaga hapo Kenya, Kitu ambacho ni cha kwenu 100% ni shida sana kupata, nasikia hata barabara zenu wanamiliki nchi nyingine (中华人民共和国)
Msaada hadi wa kujenga vyoo?[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20201217_120932.jpeg
 
Wanakataa saivi kwamba vijiji vyao sio mombasa suijui wanataka nini tena..

Ona hawa watu hapo ni mombasa mjini

Kisauni ya wapi hyo[emoji23][emoji23]
Hawa wazee wa media huaga wana tabu sana, hata diani huita ni mombasa[emoji23][emoji23]
 
jamani km huijui mombasa njoo uishi mitandao itakuponza[emoji23][emoji23]
Jamaa huona kwale na kilifi county km bado ni mombasa pia
Ona wengine hku wanaita diani mombasa

 
Hadi Vipingo huwa wanasema ati iko Mombasa[emoji23][emoji23]
Ndio tatizo la watu wa upcountry, sana sana wale ambao hawaijui mombasa..
Bora waskie we umetokea pwani basi wanasema tayari ni mombasa[emoji23][emoji23]

M huaga nawashangaa sana
 
Back
Top Bottom