Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo sio Mombasa[emoji23][emoji23][emoji1787]. Mombasa hakuna nyumba za matope.
Hahahaha wakaazi wa mombasani wanakushangaa

Kuna mahali Kenya hakuna nyumba za bati au za udongo 😅😅😅

unnamed (2).jpg
Screenshot_20201219-111633.png
Screenshot_20201219-111856.png
 
Hiyo sio Mombasa[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]

Ww iyo picha ya mombasa tena mnajisifu unaleta link uchwara hapa za ugandaVisit a local Village in Mombasa - Activity in Mombasa
 
Nimewahi ambiwa wakenya wakija bongo hutaka kufika mpaka ma kwetu lakini siku ukienda kwao watakudhururisha weee lakini hawatokuonyesha kwao.
 
IRINGA VIJIJINI compare na MOMBASA

images (62).jpeg
images (61).jpeg
images (63).jpeg
Screenshot_20201219-113338_Chrome.jpg
Screenshot_20201219-113329_Chrome.jpg

Hapo ni iringa vijiji watu kama wa Nairobi.

Hii ni kuonesha uchumi wa iringa jinsi ulivo aio mnakuja na picha za juu mnatudanganya hapa.

Kumbe hata Iringa inaipiga mombasa mbali sana.
 
Back
Top Bottom