Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hao wazee wa kusaliti renders[emoji23][emoji23][emoji23]
hao ni noma,siku hizi wanavyojengewa havieleweki,hapo open hata ukisema uamue kumfuatilia kiundani huyo nyumbu anayeokota okota data kila sehemu na kujifurahisha kwa kujiaminisha ,,,
hivyo vitu anavyopost haukosi dosari yaani hizo data zake lazima zikinzane zenyewe...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo nguruwe haezifikiria usijisumbue naye[emoji23][emoji23]
Hapa Kenya au co [emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]
JamiiForums864501110.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You brain is rotten[emoji23], there will be no payment of toll fee in that bridge but the Koreans will be laughing all the way to the bank every month after your poor government have struggled to get money to pay them[emoji23][emoji23][emoji23]. In PPP, the GOK will not be involved in payment of the loan, GOK will not be disturbed by maintaining of the road. Finally, GOK will be enjoying the taxes being paid by the investors as they operate in Kenya[emoji1787][emoji1787]
So kuna tofaut umegundua kuna sehemu kama mumeuza nchi hvi 🤣🤣🤣🤣 miaka 30 mchina anawacharaza viboko na hapo ajira zote kwa wachina kama walivofanya ile SGR ambayo ina technology ya 100 yrs ago
 
Hakuna jibu hapo zaidi ya ujinga nimekwambia nioneshe kua salender bridge mkorea ataeka toll miaka 30 achukue pesa ukipata tag me [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1653114
Your poor government will be paying every month. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
So kuna tofaut umegundua kuna sehemu kama mumeuza nchi hvi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] miaka 30 mchina anawacharaza viboko na hapo ajira zote kwa wachina
Miaka hamsini mkorea atakuwa anapata pesa yake bila huruma[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Your poor government will be paying every month. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
And china will own 30yrs + ajira zote anachukua mchina nani mwenye akili zaidi ya mwenzie 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
hao ni noma,siku hizi wanavyojengewa havieleweki,hapo open hata ukisema uamue kumfuatilia kiundani huyo nyumbu anayeokota okota data kila sehemu na kujifurahisha kwa kujiaminisha ,,,
hivyo vitu anavyopost haukosi dosari yaani hizo data zake lazima zikinzane zenyewe...[emoji23][emoji23][emoji23]
mbona dosari tayari ipo[emoji23][emoji23].

nakumbuka BRT ya dsm ilianza kwa kuchimbwa kwenda chini,ndugu zetu wanachimba nguzo[emoji23][emoji23],ukiuliza unaambiwa itakuwa elevated[emoji13][emoji13][emoji13],

elevated km zote[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Miaka hamsini mkorea atakuwa anapata pesa yake bila huruma[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Tena mbona mingi sana miaka 50 tutamlipa 0.0007% kama ni miaka hamsini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Naona unaongelea hasira sasa
 
Kati ya miaka 30 na hamsini gani kubwa?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
And china will own 30yrs + ajira zote anachukua mchina nani mwenye akili zaidi ya mwenzie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alaf mapicha yote renders sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
we mfuatilie huyo [emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] kupitia post zake haukosi dosari yaani huwa anajifunga mwenyewe.....
anaokota okota data huku anaokota kule kutoka citizen kisha nation akijumuisha na ktn bila kusahau uknown link ,,,ndiyo huwa anajipa majibu ili mradi tu ajifurahishe
 
Your poor government will be paying every month. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
imagine ndio nchi masikini hiyo.

wakati yenu ni tajiri na mimba mnatungushwa nyinyi wananchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

hahahahaaaaaaaaaaa
 
mbona dosari tayari ipo[emoji23][emoji23].

nakumbuka BRT ya dsm ilianza kwa kuchimbwa kwenda chini,ndugu zetu wanachimba nguzo[emoji23][emoji23],ukiuliza unaambiwa itakuwa elevated[emoji13][emoji13][emoji13],

elevated km zote[emoji4][emoji4][emoji4]
Hakuna BRT kenya na haitakuwepo 20yrs mark my words kazi iliobakia ni hiii hapa🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
18940E39-B570-47E3-8FA1-597F4FAEC465.jpeg
 
Tena mbona mingi sana miaka 50 tutamlipa 0.0007% kama ni miaka hamsini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Naona unaongelea hasira sasa
I pity your government, na venye mnakuanga na shida za kulipa madeni[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom