Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Westlands 😍

FB_IMG_16081993827214925.jpg
FB_IMG_16081994002659761.jpg
FB_IMG_16081993061888507.jpg
 
Yeah, Hapo ni Goldstar kamata pale ukipita ukapaona utaelewa
Namanisha hizo nguzo zinazo panda tena mwanzo walizivunja bada ya kupandisha kwasabab ya kuingiliana na flyover itakayo jengwa hapo mataa ya kamata , sasa nilikuw na hoji kwa wenye tarifa kujua kinacho endelea
 
Viewers choice international act[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nani kenya kawahi kuwa nominated kwa hiyo category?!..japo maswali yangu uligoma kuyajibu,nilitaka nikupe shule kidogo kuhusu hizo tuzo,maana kwa international awards hapa bongo ndo nyumbani kwake. ..unabisha hadi wa k wenzako wanakushangaa
 
Back
Top Bottom