Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf wanajifanya wanajua kila kitu mwengine hajui hata how google earth works alaf anajiita engineer[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani hukumbuki huyo namba 3 kwenye hiyo list aliandika humu kuwa ana edit google map aondoe slums Nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo ni mkenya namba mbili kwa upumbavu humu.

1. Teargass

2. Komora

3. Nicxie

4. Magix Enga a.k.a janerose

5. Yosef festo

6. Zig lizla

Majinga sn [emoji3516][emoji3516]
We all know the DUMBEST (airhead) in this forum ni nani.Wewe ata siezi bishana na wewe bure kabisa
 
No wonder there are no new projects coming up in Tanzania, Magu-fool amefukuza potential investors in Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

FDI Yetu imepungua ila tumetengeza 46k jobs nyie ..imepanda ila 16k jobs

Nani kanufaika sasa ...
Na hapo imepungua
Ndo maana unemployment yenu iko juu always
 
FDI Yetu imepungua ila tumetengeza 46k jobs nyie ..imepanda ila 16k jobs

Nani kanufaika sasa ...
Na hapo imepungua
Ndo maana unemployment yenu iko juu alwaysView attachment 1650969
Tofautisha sekta za high end tech kama ICT nk ambazo kimsingi ziko valuable zaidi tofauti na extractive au construction sector ambazo zinaajiri vibarua lundo ambao hawawezi hata kuendesha maisha yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…